Hotuba ya kaunda ililenga nini hasa?

KK kwa kweli leo katoa somo kubwa sana kwa Walimwengu leo!! Kaanza na Nyerere..katikati akijiweka weka yeye binafsi na juhudi zake ..akamaliza na Nyerere...watu watambue umhimu wa katika ukombozi wa watu wote wanoonewa duniani. Akimaanisha mtu kama Madiba alipokuwa gerezani na likuwa mnyonge tu asieweza kitu.....lkn JK Nyerere alijitoa kumpigania!
 
aiseee mm nilimsikia sikia tu akimtaja WINNIE,GRACE mara MARIA NYERERE cjakaa vzuri akamtaja NYERERE mara tena KIKWETE...basi
 
KK kwa kweli leo katoa somo kubwa sana kwa Walimwengu leo!! Kaanza na Nyerere..katikati akijiweka weka yeye binafsi na juhudi zake ..akamaliza na Nyerere...watu watambue umhimu wa katika ukombozi wa watu wote wanoonewa duniani. Akimaanisha mtu kama Madiba alipokuwa gerezani na likuwa mnyonge tu asieweza kitu.....lkn JK Nyerere alijitoa kumpigania!

Inaonekana Nyerere alipofariki huyu mzee alipata breakdown kubwa sana
 
alipata nafasi ya kuhubiri na kuagiza tenda lile unalotaka utendewe. dunia imewasahau. walitenda waliowatendea hawawatendei yanayowasitahili
 
Vijana hawajui historia kwa sababu they are not told. Mtoto asipojua historia yake wa kulaumiwa ni baba.

Hakuna kitu kinachonikera kama Wasourh weusi kuwaita waamiaji weusi makwerekwere.

Hawa ni kweli hawajui lolote na wanakela sana wanadhani kila mtu mweusi wakimuona kule wanaona amekimbia njaa kwao na kwenda kuchukuwa kazi zao.

Imagine muafrika mwenzako anasema eti wewe mnyama kakulu yani mweusi, kumbe hajui mbele ya wazungu nyinyi wote ni black people, nawachukia sana Wasouth ila watu wengi ambao hawajatembea hawawajui vizuri hawa watu.
 
Basi wao ni makaburu weusi.
 
Kitu alitoa somo kwa time kepers kwamba si kila mtu wa kumlimit mufa, watu wametumia muda wao mwingi kwa ukombozi sasa issue ya kuhutubia mara moja kuna wanaopaswa kuvumiliwa adabu lazima iwepo.
 
Jamani pia katika ile shughuri kuna mida mc alikua akitaja Malawi watu wanacheka na yeye anacheka. Pia Zuma nae alitaja neno Malawi akacheka na watu wakacheka!. Hii ilitokea mara kadhaa.Je ilitokana na nini kwa aliyegundua sababu?
 
Today i was amazed to see his excellence jakaya,telling truth na yule mzee mara ya mwisho n wakat zambia walipotwaa ubingwa wa africa,
 
Jamani pia katika ile shughuri kuna mida mc alikua akitaja Malawi watu wanacheka na yeye anacheka. Pia Zuma nae alitaja neno Malawi akacheka na watu wakacheka!. Hii ilitokea mara kadhaa.Je ilitokana na nini kwa aliyegundua sababu?

Kuna cku Zuma alikuwa anazungumzia barabara ya Gauteng akiwa Joburg kwenye mkutano wa ANC. Ile barabara inaonekana ni ya gharama kubwa sana so katika kuropoka akasema hii ni Johanesburg na hii barabara is not just like any National road in Malawi so tusijifananishe na the rest of Africa.. Hapo ndo ilipoleta shida
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mimi sidhani kama ile speech ina element za chuki ndani yake rather ilikua inakumbusha the reality of the struggles against the Apartheid Regime na kuwaweka "Boers" at their place considering the fact that some of the people who identified themselves as "Boers" attended the burial (De Clerk na serikali yake)
Well, inawezekana ila kumbuka RSA, neno Boers halitumiki na limezuiliwa kabisa na serikali na kama sikosei hata katiba inazuia kwa ajili ya "maridhiano". Mzee Kaunda amelirudia mara nyingi kwenye speech yake na kama ulifuatilia kila alipokuwa anatamka "Boers" kuna miguno ilikuwa inatokea au sauti fulani. You can connect the dots mkuu!!!! Take it from me!!!
 
True Marco, lakini na foleni hizi za Dar inawezekana kweli? watu wanondoka home saa 10-11 asb na kuingia home saa 3-6.
Idadi ya mimba tu imepungua, itakuwa uwezo wa kuwa na mijadara na familia.
Nyerere aliliona hili mapema Ndio Maana alitaka Serikari ihamie Dodoma lakini wamegoma kuhamia Dodoma wameamua kubanana hapa hapa foleni hazitakwisha sana sana zitazidi
 
Kaunda kuwaelimisha Vijana watambue Kuwa harakati za kuwakomboa haikuwa rahisi Kama wanavyofiri Pia vijana wanapaswa kuwapenda waafirika wenzao badala ya kuwafukuza Kama walivyofanya mwaka juzi
 
Kaunda kuwaelimisha Vijana watambue Kuwa harakati za kuwakomboa haikuwa rahisi Kama wanavyofiri Pia vijana wanapaswa kuwapenda waafirika wenzao badala ya kuwafukuza Kama walivyofanya mwaka juzi

Ni somo kubwa hasa kwa yule mvuta bangi Malema.
 
Mi nnachokumbuka alikuwa kila saa anamwita Kikwete, young man from Tanzania.

Kaunda anamfahamu Kikwete tangu alipokuwa mdogo sana kisiasa na yeye akiwa Rais wa Zambia na ndio maana anamwita "young man from Tanzania". Remember that of his generation of freedom fighters, it is him and comrade Mugabe who are surviving!!!
 
Vijana hawajui historia kwa sababu they are not told. Mtoto asipojua historia yake wa kulaumiwa ni baba.

Kuna njia mbili kuu za kuweza kujifunza historia, unaweza kujifunza kwa kufundishwa [ oral history] au unaweza kujifunza kwa kusoma maandiko ya historia. Sasa kama vijana hawasomi ni makosa ya wazazi wao?
 
True Marco, lakini na foleni hizi za Dar inawezekana kweli? watu wanondoka home saa 10-11 asb na kuingia home saa 3-6.
Idadi ya mimba tu imepungua, itakuwa uwezo wa kuwa na mijadara na familia.

Unataka kutuambia kuwa foleni za magari bongo is a form of CONTRACEPTIVE; kwa research ya nani hiyo? Mbona huku uswazi MIMBA ziko kama kawa?
 
Inaonekana Nyerere alipofariki huyu mzee alipata breakdown kubwa sana

Kaunda alikuwa rafiki yake sana Nyerere hata pale Chiluba mrithi wake kule Zambia alipomsweka ndani lupamgo , Nyerere ilibidi atoke Butiama mpaka Lusaka kwenda kuonana na Rais Chiluba ndipo Kaunda akatolewa jela!!!
 
Back
Top Bottom