Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Wake wao Unataka Kuwafanya nini? Unajua akili ikiingia njaa hata mbwa unaweza kudhani kitoweo

Hapana mkuu,Sihitaji kuwafanya lolote.Hoja yangu ni kuwa,tukiwaona wake zao wakiwa mbele ya msafara itakuwa jambo la msingi sana na hata sie walalahoi tutahamasika.Hainiingii akilini mwanasiasa anitake mimi katika msafara ilhali mkewe yupo nyumbani anatutizama kwenye luninga.
Mbona Josephine wa Slaa alikuwa katika harakati na mmewe hadi katika baadhi ya matukio akajeruhiwa??? Iweje mama Lowassa kwenye kampeni alikuwa mstari wa mbele lakini katika hili simsikii??? haliwahusu au vipi??

Mbwa ni kitoweo kwa wanaotumia,kama wewe hutumii siyo vyema kuisemea hivyo.
 
Freeman mbowe icon ya mabadiliko na demokrasia Tanzania

Tupo nyuma yenu viongozi wetu wakuu
Asa mbona yeye ajabadilika years go, years come??

Na kila mpenda demokrasia anayemtaka abadilike huwa anabandikwa lebo ya USALITI...

au Mwenyekiti ni dikteta??
 
Nendeni mahakamani mkadai tume huru ya uchaguzi na kupinga mahakamani matokeo ya uraisi kama wenzetu wa Kenya. Zambia na kwingineko. 2020 kieleweke
 
Ben hakikisha wewe uko mbele na shika mkono wa Mbowe, usikubali akutangulize mbele.
 
Lowassa yupo kundi la kupasha habari umma [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Hii inamfaa kwa shahada yake ya usanii
 
Chadema pambaneni kupinga Ufisadi na Ubabe wa Mbowe asiyetaka kuachia Umwenyekiti kila muda wa Uchaguzi ukifika anagombea peke yake Zitto Kabwe alitaka kugombea mkafukuza
 
Ni vyema m/kiti wetu nae tukawanae frontline...kuonyesha msisitizo.....wa kushikilia ukuta usibomolewe......manundu na damu tuvuje sote.....kama litatokea la kuhumizana....
 
CHADEMA haitakuja shinda UCHAGUZI kwa kuwategemea Wachaga, Wameru na watu wa kaskazini. Andamaneni kupinga Ukabila na ukanda kwanza ndo wananchi watawaelewa
 
Upumbavu tu huo, watoto wake wapo Uingereza afu anataka sisi Ndiyo tuandamane?

werevu ni upi?

-Kusababisha sukari kuadimika nakupanda bei, ndugu zako wanataabika

- Kuvunja katiba nakujiamulia mambo nje ya utaratibu katiba inakuingiza ikulu halafu unaikanyaga...shukrani za punda

-Kuzima matangazo ya bunge ili gizani watuamulie tusichokijuwa? kwafaida yanani? mbora kura wanaomba hadharani? wanaahidi hadharani....kwenye kunga wanajifungia ndani.......very bada! why?

-Kuificha kabisa rasimu ya katiba ya warioba yenye matakwa ya waliowengi? eti wanajitungia yao....does this make sense?

-kupora ushindi wa maalim sefu na kumpa ushindi asiyestahiki

-Kuvamia vituo vya kuthibitisha kura kwa wapinzani....February akiachwa kutangaza vya wizi vya ccm?

-kwamba
msajiri wa vyama mapadlock

Mwansheria mkuu mapadlock

mmiliki wa bunge mapadlock

Huu utakuwa wehu.....Taifa kubwa kama Tanzania kuongozwa kwa mifumo ya akina Kagame?


How comes Kagame anaicontrol na kuingoza nchi yetu from remote?

Mapadlock has lost control such that were governed by smallest state Rwanda?

it can't be feel ashamed. ...........!!!
 
Baada ya Sept 1 wana CHADEMA ASILI tutaandamana kupinga chama chetu kutwaliwa na watu wanne tu ambao ni Mbowe,Lowassa,Lissu na Msigwa!!Watu hawa wanne walijifungia na kuja na majina yao mifukoni kuteua wabunge wa viti maalum!

Haya maandamano ya Sept 1 ni yenu nyie CHADEMA MASLAHI sio ya CHADEMA wapingaji wa ufisadi na CHADEMA ya wanyonge!Maandamano yetu sisi yanakuja baada ya nyie na tutaomba kibali
 
CHADEMA haitakuja shinda UCHAGUZI kwa kuwategemea Wachaga, Wameru na watu wa kaskazini. Andamaneni kupinga Ukabila na ukanda kwanza ndo wananchi watawaelewa

Hutakuwa na busara maisha yako yote

endapo

msingwa mchaga

sugu mchaga

salum mwalimu mchaga

prof safari mchaga

mwita waitara mchaga nk

Hili ndio hasara za elimu za ccm kusomesha ujinga kwa wajinga kwa miakaa zaidi ya 50 nabado wajinga wametamalaki pembe zote za taifa wakijivunia ujinga kwa kuongozwa na wajinga
 
Back
Top Bottom