Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Humu hatujuani kwa majina lakini naamini wengi ni wanawake, tena wasiosoma, wenye akili za kiswahili, wambea na wapiga majungu, na nasikitika hili kuitwa jukwa la watu wanaoweza kufikiri! Hivi unaweza kutueleza Magufuli ana watoto wangapi ambao ni polisi watakaotumika kupiga watu siku ya maandamano? Na je watoto wa wanasiasa ni wanachama wa vyama husika? Kuwa mwenyekiti wa chama unaongoza wanachama au familia yako? Tuna bahati mbaya kwamba watu wenye tabia za aina yako ndio watakaoharibu amani ya nchi hii maana huna unachofanya zadi ya kufurahia kinachotaka kutokea, bila kupendekeza suluhu.
Mimi ni KE...ingawa hata ME wa jf wana mawazo ya kindezi waliyomezeshwa eti viongozi wa vyama watangulize familia zao. Kiukweli jamii yetu inalishwa ujinga mchungu...watu hawajielewi na je mbona viongozi hao hao wakitanguliza familia zao katika mambo ya maslahi watu wanakuja juu??? Ndo wajue kuwa kiongozi wa chama anapaswa kujua mipaka ya familia yake na wanachama wake kwa nafasi na nyakati mbalimbali. Nakupa LIKE MKUU
 
Asante baba kama upo kyela Salyut mi pia ni mbeya boy maana nilihis mnafk kwa post yako ndagha fijo nnkamu gwangu !!!
Nkamu achana na maandamno ambayo hayakusaudii lolote
Ukiandamana ukipigwa iwe kwa manufaa yako na kizazi chako
Kama kupigwa ingekuwa nawatayarishia wanangu maisha bora ninge andamana
Lkn kuandamana huku ni kumtayarishia Mbowe na akina Lissu maisha yao mema
Mwana chama wa kawaida CHADEMA hasikilizwi
Kazi yake ni maandamano tu
UKUTA Sept 1 upuuzwe
 
Hivi kwanini makufuri anataka kuitumbukiza nchi hii kwenye machafuko bila sababu yoyote ya msingi?

Magufuli analeta amani na sio machafuko. Machafuko yanaletwa na injustice wakati wachache wanawafhurumi wengi Kama mifumo za serikali zilizompita. Bila Magufuli nchi ilikuwa inaelekea pabaya. Wizi Kila kona. Ukisema mafisadi yanataleta fulugu ni hapo, dunia ya sasa hakuna pa kukimbilia. Sio zilesiku zamani utaleta fujo kisha ukimbie Uraya hakuna tena hata Mabutu Seseko hakuruhusiwa kuingia Uswisi ambako alipokuwa ameficha pesa zake akafia North Afrika. Tunamuomba Rais Magufuli amusikie Mungu tu kwa haki za Watanzania wote, asisikilize maneno Kama ya mutu Kama wewe yasiyokuwa na ukweli.
 
14079850_1167806873283769_2325694707558748587_n.jpg
 
Cuf wanajielewa hawataki kuburuzwa kama majizi Chadema wanavyoburuzwa na mfalme Mbowe
 
Ni UKUTA tu, haturudi nyuma. Kama Magufuli ameamua kuua hatuna jinsi, tupo tayari kufa tukitetea haki
 
Magufuli analeta amani na sio machafuko. Machafuko yanaletwa na injustice wakati wachache wanawafhurumi wengi Kama mifumo za serikali zilizompita. Bila Magufuli nchi ilikuwa inaelekea pabaya. Wizi Kila kona. Ukisema mafisadi yanataleta fulugu ni hapo, dunia ya sasa hakuna pa kukimbilia. Sio zilesiku zamani utaleta fujo kisha ukimbie Uraya hakuna tena hata Mabutu Seseko hakuruhusiwa kuingia Uswisi ambako alipokuwa ameficha pesa zake akafia North Afrika. Tunamuomba Rais Magufuli amusikie Mungu tu kwa haki za Watanzania wote, asisikilize maneno Kama ya mutu Kama wewe yasiyokuwa na ukweli.
Mama Obama sijakuelewa. Hebu funguka tena.
 
Habari Mkuu,Ben saanane!!

Nasubiri updates za kina pamoja na Kauli rasmi ya Maandamano ya Tar 01.Asiishilie kuwataka wananchi katika maandamano tu,bali nitafarijika kama atasema tutakuwa Mstari wa mbele na wake zetu,Nategemea siku hiyo kumuona Mama Lowassa,Mama Mbowe,Mama Lissu na wake za viongozi woote wa UKUTA.
Kwa akili zako undahani Mtukufu ataenda kuzuia maandamano. Akienda yeye kuzuia na Lowasa atakuwepo
 
We dogo umejiunga jana. Ungejipa muda wa kusoma posts za wakongwe kwanza ndio uanze kuchangia. Naona uko busy kuposti zilipendwa tu. Baada ya kusoma pumba unazoposti, ilibidi niende kuangalia umejiunga hapa lini, kumbe August hii? Do nimekupuuza forever. Yaani posts zako kama choras za waimba kwaya vile hahahahaha!!!!
 
Wanabodi
Salaam;

Jf ni mahali ambapo Rais wetu anapenda sana kusoma na pengine hata ni member hapa. Nataka nimwambie ukweli huu ili aingilie kati.

1-Rais tofauti na unavyoaminishwa kuhusu UKUTA kuandamana sept.01,kwamba hawatafanikiwa,ukweli maandamano yatakuwa makubwa kuliko matarajio ya serikali. Hili likitokea serikali itakwama kwenye kila kitu. Kinga ni bora kuliko tiba.

2-Kauli za police na wakuu wa mikoa juu ya UKUTA,ni kauli zenye kuleta mgawanyiko,kumbuka hao wanaotamka kuna wakati wanavua hayo magwanda na kurudi uraiani,kwa wanachokifanya wanajenga chuki kali na raia wanaoishi nao huku mitaani. Km utaacha hali hii iendelee na tar.01 sept. UKUTA uwepo,uhasama utakaokuwepo kati ya raia na police utakuwa wa kutisha!

3-km UKUTA utafanikiwa Rais wangu utakuwa umefeli kwa kiwango kikubwa sana! Kinachonitisha mimi,ni uhasama utakaotokea km police wataua raia,halitakuwa jambo la ajabu kukuta hata famili ya askari imetekwa au kufanyiwa kitu cha kikatili zaidi.

4-Rais wewe ndo mtu pekee kwa sasa unayeweza kuzima huu utengano unaotunyemelea. Hali ni mbaya sana mitaani,hela hakuna,watu wamekata tamaa hivyo hawataona shida kuandamana!

5Mwisho-Wasihi police waache kutisha watu,wasidhani kadhia hiyo itaishia kwa wanaowatisha tu,itakuwa hadi kwenye familia zao. Police ataua akiwa na sare,lkn akirudi kwake anaweza kukuta familia yake yote imeteketezwa.!

Kinga ni bora zaidi kuliko tiba.
 
Back
Top Bottom