Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Zaidi ya 75% wa wanachadema ni Wachaga, wameru, wapare na watu wa kaskazini. T.B Jushua '' Sijawahi tabiri vyama vya upinzani kushika Dola''
 
Hotuba ya Freeman Mbowe:Naweletea Live Updates sehemu ya kwaza ya Hotuba hii.Sehemu ya kwanza pia wanahabari wamealikwa na Sehemu ya pili ni kikao cha ndani.

Updates:
-Nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia Afya ya kukusanyika hapa tena

-Kwa niaba ya chama napenda kutumia fursa hii kuwapongeza viongozi wa kanda ya Kaskazini kwa kazi kubwa mliyoifanya kipindi cha uchaguzi mkuu.
-Tumepata Madiwani,Halmashauri , Wabunge wengi na kura nyingi za Urais kuliko kipindi kingine chochote
- Mkoa wa Tanga hatujaweza kutoa mbunge lakini ndani ya Ushirikiano wa UKAWA tumepata Mbunge na Madiwani wengi.
Napenda kuwatia Moyo makamanda na wananchi wote wa Tanga .Naomba Mkutano huu uweke azimio maalumu la kuukomboa Mkoa wa Tanga kutoka kwenye makucha ya CCM

-UJUMBE KWA TAIFA

-Tulipoamua Tarehe 1 Septemba iwe siku maalumu ya kuanza operesheni ya Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania(UKUTA) hatukupanga kwa nia ya kumjaribu mtu na kama kuna anayefikiria tunamjaribu Asubiri aone kwa kuwa tunapotetea na kulinda katiba na Sheria za nchi hatutamuogopa yeyote yule. Kamwe hatumuogopi!

-Rais na Wabunge wote waliapa,Waliapa kuilinda katiba ya nchi.

-Sisi kama Chama kikuu cha Upinzani ni kuangalia,Kuishauri na kuikosoa Serikali

-Wananchi hawakutupa dhamana ya kulea na kufumbia maovu hasa yale yanayokiuka haki za msingi za Kikatiba.Kamwe hatuwezi kuwa sehemu ya Wavunja sheria na katiba ya nchi

-Rais au Yeyote yule anapotoa Matamko yanayokinzana na Katiba,Tutamkatalia

-Rais Magufuli anatangaza kuzuia mikutano ya kisiasa hadi 2020 .Utaratibu huu unakiuka Sheria za vyama vya siasa na katiba ya nchi.Sheria inatamka kuwa mikutano ya kisiasa ni haki ya vyama.Rais anaamua yeye anavyojua kinyume cha sheria eti Yeye peke yake na chama chake ndiye mwenye haki ya kufanya mikutano lakini sisi wengine tusubiri hadi 2020 ndipo tutekeleze haki yetu kikatiba na kisheria

Kwamba haki ya wengine inapoishia ndipo haki yake inapoanzia. Tutawaongoza wananchi kumkatalia,Hatumjaribu bali tunatetea haki ya wananchi kutoa maoni yao

MAAMUZI YA KAMATI KUU

-Uamuzi wa Operesheni hii ni uamuzi wa kikao halali cha Kamati kuu kilichoketi kwa siku 4 Mfululizo

kamati Kuu iliamua katika utekelezaji wa maazimio haya ,yaundwe makundi 5 maalumu yakiongozwa na wajumbe wa kamati Kuu

(i):Kundi la Kwanza linaongozwa na Prof.Mwesiga Baregu. Kundi hili lilipewa majukumu ya kujenga mahusiano shirikishi(Inclusiveness) ya ndani kama asasi za kiraia,makundi ya kidini,taasisi mbalimbali na Jumuiya ya kimataifa. Kwa kuwa Suala hili sio suala la CHADEMA pekee
(ii): Kundi la Fredrick Sumaye-Kwa ajili ya kushughulika na Masuala ya Kiserikali na Kibunge
(iii)Edward Lowassa-Kundi hili linajihusisha na upashaji habari kwa Umma
(iv): Kundi la Sheria litaongozwa na Tundu Lissu.
Kundi hili lenye wanasheria maahiri kabisa linaandaa mashitaka 21 katika mahakama za ndani kwenye kanda zote nchini,Afrika Mashariki na Mahakama za kimataifa
Tunataka Dunia ishuhudie jinsi ambavyo Utawala Wa Magufuli unavyojiandaa kuvunja haki za binadamu.

5-Kamati ya Maandalizi/Mikakati.Yaani kamati za kikanda

Viongozi wametapakaa katika kanda zetu zote

Mhe.Lissu na timu yake ya Wanasheria wamebaki Makao makuu kuandaa mashitaka na Shughuli za kisheria kuelekea Septemba Mosi

-Kuna watu wanafikiri UKUTA inaua UKAWA. Hatuna utengano na wenzetu wa UKAWA

Wenzetu CUF wanajiandaa na Uchaguzi Tarehe 21/08/2016 kumchagua Mwenyekiti Mpya

-Natumia fursa hii kwa niaba ya Chama Chetu kuwatakia kila la Kheri CUF katika uchaguzi huu wa viongozi wa kitaifa na pia kuwaombea heri
Mbinu za watawala zinazolenga kuwagawa Wana-CUF zitashindwa

-NCCR-Mageuzi tupo nao na pia Wiki Ijayo kutakuwa na kikao cha viongozi wakuu wa UKAWA kuhusiana na suala hili
Hata jana nilipotoka Dar Es Salaam nilikutana na viongozi wenzangu.Kwa hiyo ndani ya UKAWA hakuna shida yoyote kama ambavyo watawala na vyombo vyao wanavyojaribu jaribu kupotosha

-Hata Wana-CCM tunawakaribisha.Suala hili ni la Watanzania wote wanaochukia maovu

-Tulitarajia kuwa Rais Magufuli na chama chake angeweza kuwaomba vijana wa CCM(Kama wanao wa Kutosha) waingie barabarani kuwaunga wao mikono lakini badala yake ameona busara kutumia majeshi,kutumia vyombo vya Dola kuingia Barabarani

-Leo waliposikia tuna vikao wakaanza kusambaza vikosi vya polisi barabarani .Leo wamesambaza vikosi kila mahali
-Natumia fursa hii kuonya jaribio la kutumia askari hawa ambao ni ndugu zetu kulinda Uovu
-Septemba Mosi hatuendi,kupambana na Dola

-Kama ilivyo kwa madikteta wote,hata huyu anayetisha watu nae anahofu.Anataka kututia hofu kwa vyombo vya dola lakini sisi hatumuogopi kwani sisi tuna Mungu

-Natambua kuna wito wa viongozi wa Dini kutukutanisha.Hatukatai wito kwa kuwa tunawaheshimu.Tutawasikiliza na tutawaeleza msimamo wetu .

Magufuli ndiye anayevunja amani ya nchi hivyo viongozi wa Dini wamkanye kabla hali haijawa mbaya

-Tumeviandaa vyombo vya habari na vya kimataifa ili Septemba Mosi Dunia ishuhudie uovu wa Serikali ya Magufuli

-Tunajua hata baadhi ya Wana-CCM ni waathirika wa Uonevu Huu ,Wasio na vyama na wengine wote tunawakaribisha

Asanteni Wanahabari.Sasa tutaanza kikao chetu cha Ndani kwa mikakati kabambe

Tunawashukuru na Mwenyezi Mungu awabariki katika kazi yenu[/QUOTE
Kwanza sidhani kama Mwenyezi Mungu anaweza kusikiliza maombi yako ya kuleta fujo Tanzania wakati hakuna haja ya fujo unazotaka kuzileta. Watanzania wengi wako upande wa Rais Magufuli, anayoyafanya hakuna Rais yeyote amechukuwa hatua ya kupigana na adui ya ufisadi ambayo imesababisha wanyonge kupata shida na wachache kutumia njia za wizi kuwa dhurumu wengi.

Tungemuomba Tundu Lissu na Mbowe kama kweli ni wanasheria na wanataka kutetea nchi, basi waanze kuchukuwa hatua kwa wote waliohusika na uhujumu uchumi kwenye kesi kubwa za ufisadi. Kama nyinyi ni wasomi wa ukweli na siyo wasomi uchwara basi pelekeni kwanza kesi hizi zifuatazo mahakama. Democrasia bila haki ya uchumi kwa wote ni democrasia uchwara. Let us deal with historical corruption which made Tanzanians poorer: Ufisadi kwenye migodi yetu, Kiwira, Metameta; Richmond; Tegeta Escrow; EPA; Rada, otherwise musimpotee wakati Rais Magufuli ana kazi kubwa ya kuisafisha nchi ambayo ilikuwa imejaa uchafu mwingi, hana wakati wa democrasia yenu ya uchwara. Watanzania sasa wana hope na huyu Rais, kwa wakati aliyokaa kwenye madaraka ameonyesha leadership siyo maneno matupu ya maandamano yasiyokuwa na musingi. Pesa zitakazotumika kulinda usalama wakati mukiandama, pesa hizo zaweza kutumika kulipa madaktari, ama kuwekwa kwenye manufaa ya wananchi.

Acheni upuuzi na uchwara wenu, hakuna anayewaunga mkono pengine wachache waliyokuwa wakiwaibia wanyonge, na wanyonge ndiyo tuko wengi, kwa hiyo maandamano yenu yatashindwa. Musitake mukitaka Watanzania wengi hata international community inamuunga mkono Rais Magufuli, ni wachache viongozi Kama Magufuli Afrika, wengi wako kwenye madaraka hujitajirisha wenyewe na familia zao na marafiki na hawana moyo wa kuwatumikia waliyowaweka kwenye madaraka.

Democrasia munayoitaka nyinyi wengi wetu sisi haina maana, Watanzania wanataka haki katika mugawo wa matunda ya nchi, watoto wetu wapate Elimu, barabara zijengwe, hospitali ziwe na dawa na zitowe hoduma kwa wote, wakulima wapate musaada, tupate maji safi, hiyo ndiyo democrasia tunayoitaka na ndiyo Rais Magufuli anaishughulikia na tunamuunga mkono.
 
Freeman mbowe icon ya mabadiliko na demokrasia Tanzania

Tupo nyuma yenu viongozi wetu wakuu

Mabadiliko tunayo na Rais Magufuli, mpaka sasa ametuonyesha leadership, na tuko nyuma yake. Wapinzani wapeleke democrasia yao ya uchwara hatuitaki.
 
Njoo Kyela uliza Malafyale
Sijawahi na siji kuwa CCM
CCM ni chama kibovu zaidi kinafuatiwa na CHADEMA MASLAHI kwa ubovu
Tutachukua chama chetu tukijenga kama zamani
Tulipokuwa na nguvu ya kuwaita CCM mafisadi
Asante baba kama upo kyela Salyut mi pia ni mbeya boy maana nilihis mnafk kwa post yako ndagha fijo nnkamu gwangu !!!
 
Hotuba ya Freeman Mbowe:Naweletea Live Updates sehemu ya kwaza ya Hotuba hii.Sehemu ya kwanza pia wanahabari wamealikwa na Sehemu ya pili ni kikao cha ndani.

Updates:
-Nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia Afya ya kukusanyika hapa tena

-Kwa niaba ya chama napenda kutumia fursa hii kuwapongeza viongozi wa kanda ya Kaskazini kwa kazi kubwa mliyoifanya kipindi cha uchaguzi mkuu.
-Tumepata Madiwani,Halmashauri , Wabunge wengi na kura nyingi za Urais kuliko kipindi kingine chochote
- Mkoa wa Tanga hatujaweza kutoa mbunge lakini ndani ya Ushirikiano wa UKAWA tumepata Mbunge na Madiwani wengi.
Napenda kuwatia Moyo makamanda na wananchi wote wa Tanga .Naomba Mkutano huu uweke azimio maalumu la kuukomboa Mkoa wa Tanga kutoka kwenye makucha ya CCM

-UJUMBE KWA TAIFA

-Tulipoamua Tarehe 1 Septemba iwe siku maalumu ya kuanza operesheni ya Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania(UKUTA) hatukupanga kwa nia ya kumjaribu mtu na kama kuna anayefikiria tunamjaribu Asubiri aone kwa kuwa tunapotetea na kulinda katiba na Sheria za nchi hatutamuogopa yeyote yule. Kamwe hatumuogopi!

-Rais na Wabunge wote waliapa,Waliapa kuilinda katiba ya nchi.

-Sisi kama Chama kikuu cha Upinzani ni kuangalia,Kuishauri na kuikosoa Serikali

-Wananchi hawakutupa dhamana ya kulea na kufumbia maovu hasa yale yanayokiuka haki za msingi za Kikatiba.Kamwe hatuwezi kuwa sehemu ya Wavunja sheria na katiba ya nchi

-Rais au Yeyote yule anapotoa Matamko yanayokinzana na Katiba,Tutamkatalia

-Rais Magufuli anatangaza kuzuia mikutano ya kisiasa hadi 2020 .Utaratibu huu unakiuka Sheria za vyama vya siasa na katiba ya nchi.Sheria inatamka kuwa mikutano ya kisiasa ni haki ya vyama.Rais anaamua yeye anavyojua kinyume cha sheria eti Yeye peke yake na chama chake ndiye mwenye haki ya kufanya mikutano lakini sisi wengine tusubiri hadi 2020 ndipo tutekeleze haki yetu kikatiba na kisheria

Kwamba haki ya wengine inapoishia ndipo haki yake inapoanzia. Tutawaongoza wananchi kumkatalia,Hatumjaribu bali tunatetea haki ya wananchi kutoa maoni yao

MAAMUZI YA KAMATI KUU

-Uamuzi wa Operesheni hii ni uamuzi wa kikao halali cha Kamati kuu kilichoketi kwa siku 4 Mfululizo

kamati Kuu iliamua katika utekelezaji wa maazimio haya ,yaundwe makundi 5 maalumu yakiongozwa na wajumbe wa kamati Kuu

(i):Kundi la Kwanza linaongozwa na Prof.Mwesiga Baregu. Kundi hili lilipewa majukumu ya kujenga mahusiano shirikishi(Inclusiveness) ya ndani kama asasi za kiraia,makundi ya kidini,taasisi mbalimbali na Jumuiya ya kimataifa. Kwa kuwa Suala hili sio suala la CHADEMA pekee
(ii): Kundi la Fredrick Sumaye-Kwa ajili ya kushughulika na Masuala ya Kiserikali na Kibunge
(iii)Edward Lowassa-Kundi hili linajihusisha na upashaji habari kwa Umma
(iv): Kundi la Sheria litaongozwa na Tundu Lissu.
Kundi hili lenye wanasheria maahiri kabisa linaandaa mashitaka 21 katika mahakama za ndani kwenye kanda zote nchini,Afrika Mashariki na Mahakama za kimataifa
Tunataka Dunia ishuhudie jinsi ambavyo Utawala Wa Magufuli unavyojiandaa kuvunja haki za binadamu.

5-Kamati ya Maandalizi/Mikakati.Yaani kamati za kikanda

Viongozi wametapakaa katika kanda zetu zote

Mhe.Lissu na timu yake ya Wanasheria wamebaki Makao makuu kuandaa mashitaka na Shughuli za kisheria kuelekea Septemba Mosi

-Kuna watu wanafikiri UKUTA inaua UKAWA. Hatuna utengano na wenzetu wa UKAWA

Wenzetu CUF wanajiandaa na Uchaguzi Tarehe 21/08/2016 kumchagua Mwenyekiti Mpya

-Natumia fursa hii kwa niaba ya Chama Chetu kuwatakia kila la Kheri CUF katika uchaguzi huu wa viongozi wa kitaifa na pia kuwaombea heri
Mbinu za watawala zinazolenga kuwagawa Wana-CUF zitashindwa

-NCCR-Mageuzi tupo nao na pia Wiki Ijayo kutakuwa na kikao cha viongozi wakuu wa UKAWA kuhusiana na suala hili
Hata jana nilipotoka Dar Es Salaam nilikutana na viongozi wenzangu.Kwa hiyo ndani ya UKAWA hakuna shida yoyote kama ambavyo watawala na vyombo vyao wanavyojaribu jaribu kupotosha

-Hata Wana-CCM tunawakaribisha.Suala hili ni la Watanzania wote wanaochukia maovu

-Tulitarajia kuwa Rais Magufuli na chama chake angeweza kuwaomba vijana wa CCM(Kama wanao wa Kutosha) waingie barabarani kuwaunga wao mikono lakini badala yake ameona busara kutumia majeshi,kutumia vyombo vya Dola kuingia Barabarani

-Leo waliposikia tuna vikao wakaanza kusambaza vikosi vya polisi barabarani .Leo wamesambaza vikosi kila mahali
-Natumia fursa hii kuonya jaribio la kutumia askari hawa ambao ni ndugu zetu kulinda Uovu
-Septemba Mosi hatuendi,kupambana na Dola

-Kama ilivyo kwa madikteta wote,hata huyu anayetisha watu nae anahofu.Anataka kututia hofu kwa vyombo vya dola lakini sisi hatumuogopi kwani sisi tuna Mungu

-Natambua kuna wito wa viongozi wa Dini kutukutanisha.Hatukatai wito kwa kuwa tunawaheshimu.Tutawasikiliza na tutawaeleza msimamo wetu .

Magufuli ndiye anayevunja amani ya nchi hivyo viongozi wa Dini wamkanye kabla hali haijawa mbaya

-Tumeviandaa vyombo vya habari na vya kimataifa ili Septemba Mosi Dunia ishuhudie uovu wa Serikali ya Magufuli

-Tunajua hata baadhi ya Wana-CCM ni waathirika wa Uonevu Huu ,Wasio na vyama na wengine wote tunawakaribisha

Asanteni Wanahabari.Sasa tutaanza kikao chetu cha Ndani kwa mikakati kabambe

Tunawashukuru na Mwenyezi Mungu awabariki katika kazi yenu
Hivi kwanini makufuri anataka kuitumbukiza nchi hii kwenye machafuko bila sababu yoyote ya msingi?
 
Habari Mkuu,Ben saanane!!

Nasubiri updates za kina pamoja na Kauli rasmi ya Maandamano ya Tar 01.Asiishilie kuwataka wananchi katika maandamano tu,bali nitafarijika kama atasema tutakuwa Mstari wa mbele na wake zetu,Nategemea siku hiyo kumuona Mama Lowassa,Mama Mbowe,Mama Lissu na wake za viongozi woote wa UKUTA.
Mkuu unataka kumuona mama mbowe akiandamana? Kwani aliyesigina katiba ni mama magufuli au ni magufuli?
 
Sijaribiwi na wala sitojaribiwa,[emoji251]afahamu mbowe jana sio leo
 
Upumbavu tu huo, watoto wake wapo Uingereza afu anataka sisi Ndiyo tuandamane?

Humu hatujuani kwa majina lakini naamini wengi ni wanawake, tena wasiosoma, wenye akili za kiswahili, wambea na wapiga majungu, na nasikitika hili kuitwa jukwa la watu wanaoweza kufikiri! Hivi unaweza kutueleza Magufuli ana watoto wangapi ambao ni polisi watakaotumika kupiga watu siku ya maandamano? Na je watoto wa wanasiasa ni wanachama wa vyama husika? Kuwa mwenyekiti wa chama unaongoza wanachama au familia yako? Tuna bahati mbaya kwamba watu wenye tabia za aina yako ndio watakaoharibu amani ya nchi hii maana huna unachofanya zadi ya kufurahia kinachotaka kutokea, bila kupendekeza suluhu.
 
Back
Top Bottom