Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

PhD holder wa chemistry mwambieni awaelezee alichosomea kwa kiingereza NDIO MTAMUONA ALIVYO MKALI KAMA PILIPILI
Chemistry ? Wondering latest element periodic table ? Sidhani ni JPM. God forbid.
 
Unaongea hvyo wakati tarehe 28/8/unaenda nje kaa na wewe sio kuongea tu alafu wewe unakaa na wanao mnakula bata
 
Namna nzuri ya kupunguza nguvu ya upinzani ilikuwa ni kuwaruhusu wafanye mikutano na maandamano kama wanavyotaka.

Tena baada ya mikutano na maandamano Rais angeongea kusema amewasikia na pia kuwasihi sasa wajikite kuijenga Tanzania.

Kuwazuia ni kujitia gharama kwa kila namna maana wanayo haki kikatiba.

Mara nyingi marais wanaotumiaga nguvu kuzuia mikutano au maandamano ni wale ambao hawapo kihalali.

Sisi Tz Rais wetu amepatikana kihalali na anakubalika, hivyo hana sababu ya kujitia dosari.

Ajikite kuwaunganisha Watanzania, na hilo ni jambo la hatua kwa hatua.
 
mkuu september mosi mtakuta wao ndio wako nyuma yenu,kwa kuwa nyie ndo mtatangulizwa mbele nao watakuwa nyuma wakisoma upepo unavyokwenda,na punde mkigeuka nyuma mtajikuta mmebaki peke yenu wao hawapo tena.
Upumbavu mwingine ni shida! Ina maana hao polisiccm huambiwa ashambuliwe aliye mbele tu? Ina maana Kamanda Mbowe akiwa nyuma hayo mapolisiccm yamekatazwa kumshambulia? akili za maccm hazina akili Lol!
 
KUNA WATU HUWA WANASEMA WAAFRIKA WAMEKUMBATIA SANA DINI NA NDIYO MAANA TUNACHELEWESHA MAENDELEO,LAKINI UKISOMA MAONI YA WATU HUMU KATIKA HUU UZI SIONI PIA KAMA KUNA DALILI YA MAENDELEO KWA SIASA ZA AINA HII.
 
Ana ubavu wa kumuonya JPM au yeye ndiye anaonywa asishike sharubu za Mangu
 
Moderators hamuwezi kufanya namna japo hawa vijana wa Lumumba na Ufipa wakakutana live ili huu ubabe wa kwenye keyboards japo upungue!?
 
Nilikuwa siamini, kumbe Mbowe ni ziro!
Eti maadamano ni uamuzi wa kamati kuu! Kwani kamati yenu kuu sisi inatuhusu nini au ni msaafu kwamba lazima tufuate?
Mmeunda makundi matano, je mmepata mrejesho wa kazi ya haya makundi? Mfano, Sumaye afanye mahusiano ya kibunge na serikali, je hiyo timu imefanikiwa kiasi gani!
Kundi la Lisu limeandaa mashtaka 21, hayo makosa mmeyapata wapi kabla ya tarehe maadamano? Yani kabla hamjatandikwa na dola!
Kama hamjaua UKAWA kwa nini msisubiri wenzenu CUF wamalize uchaguzi ili muwe pamoja Kama timu?
Na tangu lini NCCR wakatii maagizo ya kamati kuu yenu, wasitii maagizo ya chama chao?
Mbowe unataka fujo zenu zitulizwe na vijana wa ccm? Tangu lini vijana wa chama wakafanya kazi ya polisi?
Mbowe nakuuliza tena lengo lako nini kwa nchi hii?
Labda nikueleze, tuliwapigia kura kwa sababu tulitaka mabadiliko baada ya kuchoshwa na ccm, siyo kwamba tulikipenda chama chenu!
Bila Dr Slaa siyo muda mrefu chama chako kitakuwa marehemu
Wewe ndiye ziro yenye mkia kabisa! Mrejesho wewe wa nini na wakati kazi haijaanza? Unakuhusu nini wewe gamba la kijana?
 
Waliochochea mauaji Rwanda ni kitengo cha Umoja wa Vijana wa EMRD waliokuja kujulikana kama Interahamwe. Hawa hawakujali ikiwa dola iliwatesa au hata kuwaua watu, maadam waliouawa ni Watusi kwao ilikuwa sawa tu. Leo historia ile inajirudia Tanzania kwamba Vijana wa CCM wanashangilia haki za kiraia kuvunjwa ilimradi anayefanya hivyo ni rais anayetokana na Chama chao. Lakini historia ni mwamuzi wa haki kwamba huwezi kuishi kwa upanga, ukadumu kwa upanga. Wako wapi Wahutu wale? Wamepotea katika pazia la historia.Huwezi kuwavunja miguu Watanzania wasio na hatia kwa sababu tu unajivunia nguvu za dola ambao ni watoto wa Watanzania hao hao. Huwezi!!
Zakaria Lang'o huyu dikiteta uchwara angekua na chembe ya ubinadamu comment yako hii ingemfikirisha.
 
Unao
Naomba watu waheshimu mamlaka zilizopo kwann baadhi ya watu wanapenda majaribu tujenge nchi badala ya kutoa matamko ya kuandamana kuna nn nyuma yake? Tafadhalini wote mnaopanga kuleta fujo tareh 1.9.2016 acheni hivyo heshimuni mamlaka iliyopo hatujafikia kuandamana andamana wakati wenzetu wanajenga nchi tafadhalini tena na tena.
Unaongelea wapi? Kufanya mikutano ni fujo?
 
Back
Top Bottom