Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Unaandaje mashtaka kabla hujatendewa kosa! Kuandamana lazima OCD atoe go ahead vinginevyo na UKUTA nao wakiandamana bila ridhaa ya OCD nao pia watakua wamevunja katiba.
Hujui nini unaongea zaidi ya kubwabwaja tu
 
Huyo Kim-Jong un Mbowe anapinga nini? Udikteta? Hebu aseme Chacha, Zitto, Kitila Mkumbo, Dr Slaa wako wapi na sababu zipi ziliwafikisha huko?
 
Mwambie mwenyekiti ajumuike na sisi kwenye maandamano siyo tupigwe sisi yeye akituangalia kwenye TV tu na familia yake

Maneno ya kule lumumba hayasikiki tena. Masikio yetu yesha shiba. Wewe hatukuhitaji huku kitaa acha wenye usongo waende. Waambie hao unaowategemea kuwa wafanye mazoezi ya kupiga sana. Virungu havikuwekewa nyani bali watu. Washawasha hazikuletewa kuzima moto bali kuwawasha watu. Pole sana. Kaa nyumbani uangalie tv yako
 
Acheni porojo kwenye vyombo vya habari tunasubiri tuone nguvu yenu na ya Amri jeshi. Siku hiyo Mbowe, Mamvi, Mr Zero na Nzee wa kesi muwe mstari wa mbele siyo mkae hotelini huku mkiwaacha wanywa Viroba wakiwa wanaandamana peke yao
 
Mawazo na akili za mang'ombe na kiongozi wao haya

Mtu aliyesoma CBE anajiona yeye ni mwanadamu zaidi ya wengine anao waclassify kua ni "mang'ombe".....mwana CBE huyo anajeuri ya kuita watu kama Prof Baregu and etal kua ni mang'ombe...kwanini usijibu hoja na kuacha ku-resort on name-calling?...aisee wewe ndio "mwana CBE"[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mwambie mwenyekiti ajumuike na sisi kwenye maandamano siyo tupigwe sisi yeye akituangalia kwenye TV tu na familia yake
Hata nyerere hakuwa uwanja wa vita kipindi cha vita ya kakera, bush hakuwepo baghdad, kinyata hayupo mogadishu na wala obama na putin hawapo syria
 
Wa waulize libya walikuwa wanapewa hadi chakula bure lkn walivyo amua kilichotokea kila mtu anajua
Hii kauli Mh Mtukufu anapendaga sana kuitumia pasipo kujua anajisema yeye mwenyewe. Hata ungewapatia kila kitu wananchi lakini ukiwabana hata kutoa mawazo mbadala mwisho wa siku watakuchukia bila kujali yote uliyowafanyia.
 
Acheni porojo kwenye vyombo vya habari tunasubiri tuone nguvu yenu na ya Amri jeshi. Siku hiyo Mbowe, Mamvi, Mr Zero na Nzee wa kesi muwe mstari wa mbele siyo mkae hotelini huku mkiwaacha wanywa Viroba wakiwa wanaandamana peke yao

No matter status ya mwenzako,huwezi kua na akili timamu ukawaita binadamu wenzako wanaoandamana kwa kitu wanachokiamini hakiko sawa kua ni wanywa viroba......hata kama wamekosea,huna haki ya kuwatukana eti ni wanywa viroba,inaonesha unachukulia wanadamu wengine kijuujuu tu...

Jifunze utu,na kujua mahangaiko ya wenzako,sio lazima yawe na mantiki kwenye uso wako,wasikilize ujue kinachowasumbua,sio unaanza kuwatukana,hujasaidia kitu...

Sisi binadamu tupo selfish sana,kama wewe unajiona sio mnywa viroba,wale wengine ndio wanywa viroba,tuseme ni hivyo basi,umetatua tatizo?Utawaua,halafu utakua umepata nini kwa mfano?Ndio viwanda vitakuja?Stupidity tu.
 
Back
Top Bottom