10% ni ile penati ya wanaochelewa kuanza kulipa, mfano mtu aliyehitimu mwaka 2015 na hadi sasa bado hana ajira na hajaanza kulipa.Wasalaaam great thinker.
Ebana eeeh kuna hii kauli ya waziri was elimu ameitoa leo kama sikosei,ya kuondoa tozo la % 10 bodi ya mikopo.
Kidogo napata mkakanganyiko juu ya hili nikirejelea na kauli ya raisi recently juu ya kuondoa asilimia 6 pia.
Kwa walio elewa vizuri hizi sarakasi,tafadhali naomba kuwasilisha ombi la ufafanuzi kidogo juu ya hizi kauli mbili I.e. ya raisi na waziri wake.
Maana zigo la makato ya bodi aisee sio mchezo wajumbe.
Kwa anza ahsante kwa ufafanuzi,ila sasa kamanda hii mambo ikiwa implemented,je kutakuwa na changes zozote kwenye salary slips zetu au ndo mambo yaleyale....maana nahisi kama hakutakuwa na tofauti yoyote ile kwenye mpuruto kwa kasalary au nasema uongo ndugu yangu?.10% ni ile penati ya wanaochelewa kuanza kulipa, mfano mtu aliyehitimu mwaka 2015 na hadi sasa bado hana ajira na hajaanza kulipa.
6% nadhani inaeleweka
Yaani kamanda kuwa na subira ya pishi wala sio shida,tatizo tutakula hilo pishi lenyewe maana kama ni viungo aisee twavipata haswaa...shida isije ishia kunusa tu hilo pishi.Mapishi bado hayajakamilika usiumizwe na harufu ya viungo mkuu, kaa kwa password.
Kwahiyo na ile 10% ya penalty ya kuchelewa kulipa inaondolewa?10% ni ile penati ya wanaochelewa kuanza kulipa, mfano mtu aliyehitimu mwaka 2015 na hadi sasa bado hana ajira na hajaanza kulipa.
6% nadhani inaeleweka
Kama ushaanza kulipa na uliwahi kuchelewa kulipa bila shaka utakuwa ushailipa hii 10%.Kwa anza ahsante kwa ufafanuzi,ila sasa kamanda hii mambo ikiwa implemented,je kutakuwa na changes zozote kwenye salary slips zetu au ndo mambo yaleyale....maana nahisi kama hakutakuwa na tofauti yoyote ile kwenye mpuruto kwa kasalary au nasema uongo ndugu yangu?.
Ndio mkuu, Ndalichako kasema leo mjengoniKwahiyo na ile 10% ya penalty ya kuchelewa kulipa inaondolewa?
NdiyoKwahiyo na ile 10% ya penalty ya kuchelewa kulipa inaondolewa?
Ufafanuz please!Hivi deni litapungua kweli?mbona kama siamini hivi?
Naomba kueleweshwa
Wabongo wengi ni vilaza wa kutupwa halafu wanajishuku shuku muda woteee.Wasalaaam great thinker.
Ebana eeeh kuna hii kauli ya waziri was elimu ameitoa leo kama sikosei,ya kuondoa tozo la % 10 bodi ya mikopo.
Kidogo napata mkakanganyiko juu ya hili nikirejelea na kauli ya raisi recently juu ya kuondoa asilimia 6 pia.
Kwa walio elewa vizuri hizi sarakasi,tafadhali naomba kuwasilisha ombi la ufafanuzi kidogo juu ya hizi kauli mbili I.e. ya raisi na waziri wake.
Maana zigo la makato ya bodi aisee sio mchezo wajumbe.
Kama umechelewa kulipa, Je hii 10% inawekwa kwenye salary slip au na yenyewe inasubiri umalize deni lote la salary slip ndio wakuwekee pamoja na deni jipya linalojumuisha 10% na VRF ya 6% ?Wabongo wengi ni vilaza wa kutupwa halafu wanajishuku shuku muda woteee.
Tena hadi wasomi kabisa. Yaani mtu kakopa lakini taratibu za bodi ya mikopo hazijui, ndio maana huwa mnapigwa mpaka na maQ-net.
Anyway,
1- Iko hivi, 6% ilikuwa ni Value retention fee ( VRF ). Yaani ukilipa deni lako mwaka mzima, ila ukimaliza mwaka tu, asilimia 6 ya deni lako original ulilokopa inaongezwa tena juu ya mkopo wako uliobaki.
2- Na kwa 10% Hii ni penalty ( adhabu ) waliokuwa wanapewa wale wanaochelewa kuanza kulipa deni la bodi.
Iko hivi, ukihitimu chuo na kama ulikuwa mnufaika wa bodi unapewa mwaka mmoja wa neema ( bila kuanza kulipa ) yaani grace period. Mwaka mmoja ukiisha inabidi uanze kulipa hata kama hujapata kazi inatakiwa uanze kupeleja bodi angalau 100,000 kila mwezi.
Sasa ikitokea muda wa wewe kuanza kulipa deni wewe umekwepa halafu ukaja kuanza kulipa deni kwa kuchelewa, hapo ndipo unapigwa penalty (10%) ya deni lako original inaongezwa juu ya deni ulilonalo.
Inawekwa kwenye salary slipKama umechelewa kulipa, Je hii 10% inawekwa kwenye salary slip au na yenyewe inasubiri umalize deni lote la salary slip ndio wakuwekee pamoja na deni jipya linalojumuisha 10% na VRF ya 6% ?
Kwa maana hiyo wakitoa hii 10% deni la salary slip litapungua?Inawekwa kwenye salary slip
Yes, kama ulikuwa nayo hiyo penalty.Kwa maana hiyo wakitoa hii 10% deni la salary slip litapungua?