Hotuba Wizara ya Elimu: Tozo ya 6% kwenye mikopo ya Elimu kuondolewa Julai 1. Pia Serikali itaondoa tozo ya 10% kwa wanaochelewa kulipa mikopo yao

Sasa wajumbe hiyo value retention fee(VRF) kwa wale amabo tulishapigiwa toka huko mwanzo na tunaendele kuilipa,je nasi hii inatuhusu,yaani let say principal amount/deni lako ni (X) na three year calculated VRF ni (B),then total amount/deni ni XB,sasaa baada ya hiyo removal ya VRF fee kama mama alivyosema maana yake ndo tuseme deni litakuwa X tu na si XB as per what will be reflected on salary slip with effect from 1st July???
 
Uko sahihi inatakiwa iwe hivyo. Lisipopungua mwezi wa saba nenda ofisini kwao
Sasa wajumbe hiyo value retention fee(VRF) kwa wale amabo tulishapigiwa toka huko mwanzo na tunaendele kuilipa,je nasi hii inatuhusu,yaani let say principal amount/deni lako ni (X) na three year calculated VRF ni (B),then total amount/deni ni XB,sasaa baada ya hiyo removal ya VRF fee kama mama alivyosema maana yake ndo tuseme deni litakuwa X tu na si XB as per what will be reflected on salary slip with effect from 1st July???
 
Nilimaliza chuo 2014, nimeanza kulipo loans board 2020, naomba board ikifika july nione mkopo umepungua lasivyo hiyo penalty ipunguze deni zaidi maana kurudisha hawawezi. Nikiibuka board hyo july ntawachapa barua
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom