Hotuba Wizara ya Elimu: Tozo ya 6% kwenye mikopo ya Elimu kuondolewa Julai 1. Pia Serikali itaondoa tozo ya 10% kwa wanaochelewa kulipa mikopo yao

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,024
2,000
Ambao hatujaanza kulipa inakuaje...
Ambao tumeanza kulipa inakuaje....
 
Gibeath-Elohimu

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
488
1,000
Wasalaaam great thinker.

Ebana eeeh kuna hii kauli ya waziri was elimu ameitoa leo kama sikosei,ya kuondoa tozo la % 10 bodi ya mikopo.

Kidogo napata mkakanganyiko juu ya hili nikirejelea na kauli ya raisi recently juu ya kuondoa asilimia 6 pia.

Kwa walio elewa vizuri hizi sarakasi,tafadhali naomba kuwasilisha ombi la ufafanuzi kidogo juu ya hizi kauli mbili I.e. ya raisi na waziri wake.

Maana zigo la makato ya bodi aisee sio mchezo wajumbe.
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
39,553

10% ni ile penati ya wanaochelewa kuanza kulipa, mfano mtu aliyehitimu mwaka 2015 na hadi sasa bado hana ajira na hajaanza kulipa.

6% nadhani inaeleweka
 
Kwa anza ahsante kwa ufafanuzi,ila sasa kamanda hii mambo ikiwa implemented,je kutakuwa na changes zozote kwenye salary slips zetu au ndo mambo yaleyale....maana nahisi kama hakutakuwa na tofauti yoyote ile kwenye mpuruto kwa kasalary au nasema uongo ndugu yangu?.
 
Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
1,930

Kwahiyo na ile 10% ya penalty ya kuchelewa kulipa inaondolewa?
 
kifinga

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
5,220
2,000
nazani wametoa zile figisu figisu za retention fees na penalty nyingine ili tulipe kile tulichokopa tu usiwe kama mkopo wa kibenki au nasema uongo ndugu zanguuuu
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
39,553
2,000
Kwa anza ahsante kwa ufafanuzi,ila sasa kamanda hii mambo ikiwa implemented,je kutakuwa na changes zozote kwenye salary slips zetu au ndo mambo yaleyale....maana nahisi kama hakutakuwa na tofauti yoyote ile kwenye mpuruto kwa kasalary au nasema uongo ndugu yangu?.
Kama ushaanza kulipa na uliwahi kuchelewa kulipa bila shaka utakuwa ushailipa hii 10%.

Hii 6% ilikuwa inapigiwa mahesabu kila mwisho mwaka na julai mosi inaenda kusitishwa rasmi, kwahiyo mahesabu yake hautayaona tens kwenye deni litakaloendelea kubaki kadri utwkavyoendelea kulipa
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,573
2,000
Wasalaaam great thinker.

Ebana eeeh kuna hii kauli ya waziri was elimu ameitoa leo kama sikosei,ya kuondoa tozo la % 10 bodi ya mikopo.

Kidogo napata mkakanganyiko juu ya hili nikirejelea na kauli ya raisi recently juu ya kuondoa asilimia 6 pia.

Kwa walio elewa vizuri hizi sarakasi,tafadhali naomba kuwasilisha ombi la ufafanuzi kidogo juu ya hizi kauli mbili I.e. ya raisi na waziri wake.

Maana zigo la makato ya bodi aisee sio mchezo wajumbe.
Wabongo wengi ni vilaza wa kutupwa halafu wanajishuku shuku muda woteee.

Tena hadi wasomi kabisa. Yaani mtu kakopa lakini taratibu za bodi ya mikopo hazijui, ndio maana huwa mnapigwa mpaka na maQ-net.

Anyway,

1- Iko hivi, 6% ilikuwa ni Value retention fee ( VRF ). Yaani ukilipa deni lako mwaka mzima, ila ukimaliza mwaka tu, asilimia 6 ya deni lako original ulilokopa inaongezwa tena juu ya mkopo wako uliobaki.

2- Na kwa 10% Hii ni penalty ( adhabu ) waliokuwa wanapewa wale wanaochelewa kuanza kulipa deni la bodi.

Iko hivi, ukihitimu chuo na kama ulikuwa mnufaika wa bodi unapewa mwaka mmoja wa neema ( bila kuanza kulipa ) yaani grace period. Mwaka mmoja ukiisha inabidi uanze kulipa hata kama hujapata kazi inatakiwa uanze kupeleja bodi angalau 100,000 kila mwezi.

Sasa ikitokea muda wa wewe kuanza kulipa deni wewe umekwepa halafu ukaja kuanza kulipa deni kwa kuchelewa, hapo ndipo unapigwa penalty (10%) ya deni lako original inaongezwa juu ya deni ulilonalo.
 
Kama umechelewa kulipa, Je hii 10% inawekwa kwenye salary slip au na yenyewe inasubiri umalize deni lote la salary slip ndio wakuwekee pamoja na deni jipya linalojumuisha 10% na VRF ya 6% ?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,573
2,000
Kama umechelewa kulipa, Je hii 10% inawekwa kwenye salary slip au na yenyewe inasubiri umalize deni lote la salary slip ndio wakuwekee pamoja na deni jipya linalojumuisha 10% na VRF ya 6% ?
Inawekwa kwenye salary slip
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom