Hahaha team IST (International school of Tanganyika).should thinks twice b4 there ACTIONS!
Hahaha team IST (International school of Tanganyika).should thinks twice b4 there ACTIONS!
Hakuna mtu mwenye hati hapo. Kama mtu ana hati ni za bandia.Tuache ushabiki makosa ni ya serikali kwani watu wana hati halali kwa hiyo Lukuvi asijifanye kichaa atalipa fidia kutoka mfukoni mwake au hao walio toa hati. Fedha yetu ya kodi isiguswe.
should thinks twice b4 there ACTIONS!
hahahahaha, bora umesema mi watu kama hao huwa napita kwani najisikia aibu sana sasa sijui yeye mwenyewe anajisikiaje au ndo wale wale hawajui halafu hawajui kama hawajuiWhat is this? A language similar to English or what....! Ni heri kuandika Kiswahili utaeleweka, sasa hiki sijui ndio kitu gani!!!
acha hasira, vitendea kazi havotoshi, hakuna jiwe litakaloachwa bila kugeuzwa, hatua kwa hatua, hata pia ki usalama si vizuri kuamsha hasira za watu wote kwa wakati mmojaHivi hawa viongozi wanafikiri Dar ndiyo Tanzania pekee??? Mbina matamko hayo na hizo X Sijazisikia mikoa kama Arusha ambayo sasa hakuna kiwanja cha wazi hata kimoja, watu wamejenga kwenye vyanzo vya maji, mitoni, nk. Lakini kila siku Dar tu!! Mnakera hili zoezi litapendeza likiwa la kitaifa na siyo Dar peke yake.
huyo jamaa "miyeyusho" sana. lugha ishamuendea kushoto.Hiki Kiingereza chako nyanokho wewe! Eti thinks twice? Eti before there actions?
Tupe picha acha udaku
Tena waharakishwe
Duh double tree viwanja vya wauza sura
Hilo ndo swali la msingi. Walikuwa wapi majengo kama ya double tree hotel yalipokuwa yanajengwa? Mimi nina wasi wasi kuwa Serikali itashitakiwa na na wawekezaji au raia wengi na kuna kesi serikali itashindwa. Tumshangilie JPJM huku tukiweka akiba ya maneno.Inasikitisha kama viongozi wetu wataona ni busara kubomoa hotel kama double tree na majengo mengine makubwa. Wakati huu ambao kila mtu ana pambana na umaskini wengine wana ukumbatia. Serikali ilikuwa wapi hadi investment kubwa kama double tree ikajengwa?
This demolition craziness is not going to end well! Tunavunja majengo sawa kama kweli yamekiuka sheria au yanahatarisha maisha ya wakazi. Kama kwa kujisahau tukaruhusu Double Tree kujengwa na tukawa tunakusanya makodi kibao kutoka hapo na kama Double Tree haihatarishi maisha bali tu ni kinyume na matazamio ya sheria zetu za mazingira, ni uenda wazimu kubomoa! Hakuna jinsi ya kuifanya Double Tree ikatunza mazingira kwa faida ya jamii - na kwa nini tusifanye hivyo na kumpiga faini ya kupingana na mpango na sheria zetu kama ilikuwa hivyo! Huu wenda wazimu utatufikisha pabaya - au mahakamani au kwa ktuupunguzia ajira, kukimbiza wawekezaji- Nachukia utekelezaji sheria blindly!
Hilo ndo swali la msingi. Walikuwa wapi majengo kama ya double tree hotel yalipokuwa yanajengwa? Mimi nina wasi wasi kuwa Serikali itashitakiwa na na wawekezaji au raia wengi na kuna kesi serikali itashindwa. Tumshangilie JPJM huku tukiweka akiba ya maneno.
Tena waanze na Naura Spring Hotel na hoteli nyinyinezi jijini na kisha waje wabomoe baadhi ya ofisi za CCM.Arua
Arusha kuna sehem imepimwa zaidi ya kijenge chini na njiro?si watabomoa mji mzima
Kilichofanyika hapo Mkuu ni style ya magazeti ya udaku, ambapo unakuta headlines za gazeti zinasisimua kwelikweli hadi unavutika kununua gazeti.Sasa huko si kutaniana ??