wakikosi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,354
- 1,494
Usihofu kaka mikoani tunakuja,Dar ni mwanzo tuHivi hawa viongozi wanafikiri Dar ndiyo Tanzania pekee??? Mbina matamko hayo na hizo X Sijazisikia mikoa kama Arusha ambayo sasa hakuna kiwanja cha wazi hata kimoja, watu wamejenga kwenye vyanzo vya maji, mitoni, nk. Lakini kila siku Dar tu!! Mnakera hili zoezi litapendeza likiwa la kitaifa na siyo Dar peke yake.