mawazotu
Senior Member
- Apr 27, 2010
- 151
- 79
Vip hotel the sea cliff au yenyewe ipo katika sehemu inayoruhusiwa kisheria . coz mara nyingi nimeshafika katika mgahawa wao wa karambezi yani maji yanagonga mwamba wa hotel .mimi naona serikali iwaangalie upya hotel na shuguli nyingine za kiutalii sheria na taratibu mpya ili waweze kutumia fukwe zetu vizuri ukiangalia Dubai hotels zinapewa vibali kujenga ata ndani ya bahari .