Hakuna hati hapo, na kama kuna hati ni hati bandia.
Hao wote wanao bomolewa kawaulize kama wana hati. Hata mimi kuna kipindi nilitaka kununua lakini mambo yaka kwama kwa ajili ya hati, na isitoshe ni jambo linalo julikana kwa uwazi kabisa usjinge karibu na ufukweni, isiwe ndani 60 m, na usijenge maeneo ya jangwani, na eneo amabalo halijapimwa.
Kwanza utajengaje mahali ambapo hapaja pimwa. Na hao wenye vibali walitoa hongo ili wapatiwe vibali ya kujenga, sasa inabidi wakawasake wale ma officer ardhi walio wahonga ili warudishiwe hela zao, kama watawapeleka mahakamani´haya.
Kwa sasa serikali haina muda wa kuku uliza nani aliye kuuzia ni wewe mwenyewe umburuze huyo officer wa ardhi aliekula hela zako.