akuhmm
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 583
- 225
Just wht i thoughtWhat is this? A language similar to English or what....! Ni heri kuandika Kiswahili utaeleweka, sasa hiki sijui ndio kitu gani!!!
Just wht i thoughtWhat is this? A language similar to English or what....! Ni heri kuandika Kiswahili utaeleweka, sasa hiki sijui ndio kitu gani!!!
Acha ujinga wamevunja sheria hawawezi kuachwa...Hakuna sababu ya msingi ya kuzibomoa. Haziko kwenye mazingira hatarishi kwa binadamu na so long as waliruhusu wenyewe zijengwe waziache. Wahakikishe kuwa hazijengwi nyingine mpya ktk maeneo hayo ya beach. Bado kuna maeneo makubwa ya beach ambayo yako wazi.
Kila jipu litatumbuliwa....Magufuli anaonea watu sasa
We mgeni nchi hii mkuu, hivi hujui kwamba hawa watu walikuwa wakizuiwa na ngazi za chini wanapanda juu na KUHONGA kisha unashushiwa tamko chini, kama unaleta ubishi unatupwa wilaya za pembezoni. Mbaya zaidi waliowaruhusu hawa watu (double tree na wenzake) na kula hela zao wameshastaafu, kufariki au wameshatemwa na system.Inasikitisha kama viongozi wetu wataona ni busara kubomoa hotel kama double tree na majengo mengine makubwa. Wakati huu ambao kila mtu ana pambana na umaskini wengine wana ukumbatia. Serikali ilikuwa wapi hadi investment kubwa kama double tree ikajengwa?
Asije akatumbua na nyumba unayoishiKila jipu litatumbuliwa....
Hivi hawa viongozi wanafikiri Dar ndiyo Tanzania pekee??? Mbina matamko hayo na hizo X Sijazisikia mikoa kama Arusha ambayo sasa hakuna kiwanja cha wazi hata kimoja, watu wamejenga kwenye vyanzo vya maji, mitoni, nk. Lakini kila siku Dar tu!! Mnakera hili zoezi litapendeza likiwa la kitaifa na siyo Dar peke yake.
Hayo ni matatizo ya hawa Vijana kuangalia sinema za Swaziniga na kukariri neno kwa neno,matokeo yake anajikuta kaandika maneno ambayo Swaziniga alikuwa anamuonya mkuu wa majambazi.Hiki ni kini Ulichoandika????
Ndalichako vijana wako hawa huku.
ubabe mwingine huu ama?Hizi hoteli ni moja ya majengo yaliyowekewa alama ya "X" siku ya jana kwa maana ya majengo yanayopaswa kubomolewa.Jengo lingine linalopaswa kuvunjwa ni pamoja na lile liliopo karibu na Hospitali ya Amin.
Waziri wa Ardhi,mh.William Lukuvi, kaagiza Manispaa ya Kinondoni iwape notice ya siku saba wabomowe majengo yao na wakishindwa serikali itabomoa na watalipa gharama hizo.
===========
Imeandikwa na Suzan Mwillo, Nuzulack Dausen na Venance Nestory
Inasikitisha kama viongozi wetu wataona ni busara kubomoa hotel kama double tree na majengo mengine makubwa. Wakati huu ambao kila mtu ana pambana na umaskini wengine wana ukumbatia. Serikali ilikuwa wapi hadi investment kubwa kama double tree ikajengwa?
Hapo hata mm nakuunga mkono kiongozi. Kama ni ukuta tu sawa vinginevyo serikali iwalipe hao watu fidia kwa makosa yaliyofanywa na watendaji wake kutoa vibali vya ujenzi ktk maeneo husika.Me nadhan ni ukuta, sio hotel yote. Kama ni yote kuna haja hata rais kuingilia ku rescue, sababu lazima tupime hasara za jengo kimazingira au mipangilio ya miji na factor zote walizoclaim against faida yake kiuchumi, kwa mawazo yangu agregate effects za hiz bomoa bomoa inaweza kuwa mbaya zaid.
Hivi hawa viongozi wanafikiri Dar ndiyo Tanzania pekee??? Mbina matamko hayo na hizo X Sijazisikia mikoa kama Arusha ambayo sasa hakuna kiwanja cha wazi hata kimoja, watu wamejenga kwenye vyanzo vya maji, mitoni, nk. Lakini kila siku Dar tu!! Mnakera hili zoezi litapendeza likiwa la kitaifa na siyo Dar peke yake.
wataanza kulia oo mara wanasakamwa kwa kuwa hawajaichagua ccmUsiwe na haraka, watafika na huko kwenu.Lakini usije kutulilia tu humu
Ah ah ah ah............should thinks twice b4 there ACTIONS!
Umeisoma hata id ya huyo jamaaWhat is this? A language similar to English or what....! Ni heri kuandika Kiswahili utaeleweka, sasa hiki sijui ndio kitu gani!!!
wakifika kwetu arusha, nchi itatikisika. ila ni aibu mji wa kitalii kuwa hovyi namna hii, Arusha ilitakiwa kuwa kioo cha jamii, barabara na mitaa yenye mpangilio, na usafiri wa kisasa pia uwepo kwasababu ndio geneva ya africa. hatuithamini arusha wakati wenzetu wanatuthamini.Hivi hawa viongozi wanafikiri Dar ndiyo Tanzania pekee??? Mbina matamko hayo na hizo X Sijazisikia mikoa kama Arusha ambayo sasa hakuna kiwanja cha wazi hata kimoja, watu wamejenga kwenye vyanzo vya maji, mitoni, nk. Lakini kila siku Dar tu!! Mnakera hili zoezi litapendeza likiwa la kitaifa na siyo Dar peke yake.
Kwani hao wenye majengo akilizao zilikua wapi wakati wakijenga mahali pasipo ruhusiwa? Na akili zao zilikua wapi ili wafikirie kwamba raisi hatakaa milele madarakani. Sasa ni raisi mwingine na mambo mapya ya HAPA KAZI TU.Inasikitisha kama viongozi wetu wataona ni busara kubomoa hotel kama double tree na majengo mengine makubwa. Wakati huu ambao kila mtu ana pambana na umaskini wengine wana ukumbatia. Serikali ilikuwa wapi hadi investment kubwa kama double tree ikajengwa?
Nadhani itakuwa kuta zinazozunguka hoteli hizo, kwa kuwa sioni uwezekano wa kuibomoa Hoteli kama hiyo ya kimataifa ya Double Tree by Hilton.Kule Slipway na Double Tree by Hilton ni kubomoa jengo au ukuta wa uzio ambao umesogeavsana barabarani?
Mkuu wa mkoa wa Arusha hatakuwa kipele huyo, kwani anaoneka hasimamie kazi zake vinzuri. Lakini nauwakika wanakuja huko soon, wanapima urefu wa mji Dar kwanza.Hivi hawa viongozi wanafikiri Dar ndiyo Tanzania pekee??? Mbina matamko hayo na hizo X Sijazisikia mikoa kama Arusha ambayo sasa hakuna kiwanja cha wazi hata kimoja, watu wamejenga kwenye vyanzo vya maji, mitoni, nk. Lakini kila siku Dar tu!! Mnakera hili zoezi litapendeza likiwa la kitaifa na siyo Dar peke yake.