Hoteli wanayopika ugali asubuhi

Sasa si afadhali hata huo unapikwa asubuhi watu tushakula sana kiporo cha ugali na chai asubuhi alafu freesh tu unadunda mtaani!
 
Mkuu tunaangalia tamaduni zetu waTz kwa kawaida ni mchama ama usiku ila hii ya asubuhi itawashangaza wengi
Itawashangaza wale wavivu wa kutembea ambao wamezaliwa Kilimanjaro wamekulia Kilimanjaro wamesomea Kilimanjaro kilakitu yeye ni Kilimanjaro tu. Keshazoea kwao Asbuh anakunywa kikombe cha uji wa mihogo, basi wanafikiri watu wote sehem zote ni hivyo hivyo.
 
Kweli jf itabaki hivyo hivyo kila nikikumbuka hii post nabaki kucheka
 
Hiyo kali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nipe location tafadhali niwe nakamua nikienda kunako harakati, maana nikiwa hom hyo k2 ni kawaida kabisa.
 
Halafu we binti una kumbukumbu hatari. Marula, kichuri na ugali wa udaga pilipili kwa mbaliiiii

charminglady unamuona huyu mdogo wako anazungumzia JJ CLUB, ukimwambia Makaranga Disko atashangaa.

Huyu wa juzi huyu.... Enzi za Marura na Makaranga hazijui... JJ ya juzi hiyo!!!!!
 
Last edited by a moderator:
fika hotel yoyote ile na hasa kwa migahawa yote apo tarime mjini,ila ya butiama ni baraa

Mkuu... sio yeyote, ujue kuna wataalamu wa hiyo makitu. Kwanza uchomaji wa nyama, pili upikaji wa ugali tatu na tamuuuuuuu kuliko uandaaji wa Kichuri. Wacha wewe unaeza jing'ata kidole!!!!
 
Mkuu tunaangalia tamaduni zetu waTz kwa kawaida ni mchama ama usiku ila hii ya asubuhi itawashangaza wengi

Yawezekana we ni mtoto wa kishua eeeh....
Huku usukumani, kule ukuryani, ujaluoni na unyirambani mbona kawaida saaaanaaa....
 
Mkuu... sio yeyote, ujue kuna wataalamu wa hiyo makitu. Kwanza uchomaji wa nyama, pili upikaji wa ugali tatu na tamuuuuuuu kuliko uandaaji wa Kichuri. Wacha wewe unaeza jing'ata kidole!!!!

ni kweli kabisa inategemeana na utaalamu wa kuiandaa,ila wengi apo tarime mjini ni wataalamu,chezea mkurya na kichuri
 
ahahaha,sijui kwa nini anaitwa Makaranga? makaranga imefunguliwa 1990,jj ni ya juzi sana

Mkuu... Hilo ni jina la Mzee mmoja alikuwa anaitwa Chacha Makaranga. Akaauma kuitwa bar / club yake Makaranga..

Basi enzi hizo za primary wakati imefunguliwa tulitunga wimbo wa mchakamchaka... Tuliimba hivi..

"Mwenyekiti wetu Chacha Makaranga, wakong'a wasing'ara ku inkundo ya mande"

Aione Mwita Maranya na platozoom...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu... sio yeyote, ujue kuna wataalamu wa hiyo makitu. Kwanza uchomaji wa nyama, pili upikaji wa ugali tatu na tamuuuuuuu kuliko uandaaji wa Kichuri. Wacha wewe unaeza jing'ata kidole!!!!

ni kweli kabisa inategemeana na utaalamu wa kuiandaa,ila wengi apo tarime mjini ni wataalamu,chezea mkurya na kichuri
 
mbona kawaida mkuu ,uvira hapo congo watu hawanywi chai wanagonga ugali na kisamvu asubuhi , na karibu wacongo wote chai wanaijua huku TZ .

Hata wazambia chai kwao ni mpaka uingie kwenye hotel ya kuanzia nyota tatu, mtaani asubuhi ni "nshima na nsomba" ugali na visamaki vina miba mingi
 
Mkuu hata kwangu mimi binafsi this is big news. Unless hao ni wakata mbao manake wao hula ugali hata 5am
 
nimeambulia moja tu iyo inkudo,dah kweli we ni wa tarime,sijui umesoma turwa,nyamisangura,sabasaba au rebu?
 
Akha akha
Polepole dada yangu. Mgambo wa JF hawachezi mbali.

Halafu nimemkumbuka dada mmoja alikuwa madarasa kadhaa mbele, yeye kila mtihani wa mhula anakuwa wa mwisho darasani.
Lakini alikuwa na bidii ya kuja shule na kutii taratibu zoote. Wakati wanasoma majina ya watu wa mwisho, kabla Mwalimu hajamaliza wanafunzi wanaitikia kwa kumtaja jina "Kinyunyiiiiiiii Chonchoriiiiiiiii".
charminglady unamkumbuka?
 
Last edited by a moderator:

kwa lugha hiyo mgambo wa jf hawezi ambulia kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…