Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

Ukweli unauma lakini ni budi kuusema.
Mwanzilishi ni Nani?
Mwanzilishi ni mwanaume. Hii ilianzia Nchi za kati.

Lengo lilikuwa nini?
Mwanaume anaubinafsi Sana ktk Mapenzi. Waliona kusubiri siku za edhi zipite n nyingi. Wakaforce wake zao ama wapenzi wao wawape tundu dogo. Kujifurahusha
Pili, ilikuwa kuwadhalilisha Wanawake.

Kwa kifupi mwanaume ndiye Mwanzilishi. Ila kwasasa mwanamke ndiye mratibu mkuu
 
Nikuhonge mali?Basi zidisha utundu,
Nipe michezo ya hatari ninyonye mpaka..Roma Roma
 
Jamaa mmoja kutetea ufirauni huu akasema 'mwanamke hafirwi..bali an.ato**wa m.ku***'...jmn ukubwa kaziii jmn jmnnn.unaeza weka mapazia kwny sikio ...ahhh

Mbna ht kuweka kidole tu ts painful watu sijui wanaenjoy nini jmn..chaaaa
Ukianza kuwekwa kidole tayari hakitatosha utaanza kutaka DUDE,mwishowe mnakua addicted,we unayesema kidole tu unasikia maumivu nakusihi acha huo mchezo wakutiwa kidole,utazoea halafu utaacha kusikia maumivu utake kuingiziwa DUDE,mnakera sana nyie baadhi ya akina dada.
 
Ukweli unauma lakini ni budi kuusema.
Mwanzilishi ni Nani?
Mwanzilishi ni mwanaume. Hii ilianzia Nchi za kati.

Lengo lilikuwa nini?
Mwanaume anaubinafsi Sana ktk Mapenzi. Waliona kusubiri siku za edhi zipite n nyingi. Wakaforce wake zao ama wapenzi wao wawape tundu dogo. Kujifurahusha
Pili, ilikuwa kuwadhalilisha Wanawake.

Kwa kifupi mwanaume ndiye Mwanzilishi. Ila kwasasa mwanamke ndiye mratibu mkuu
Wewe kweli kibuyu,eti unahuakika mwanzilishi nani tena kwa porojo,kama unahuakika leta facts sio mitazamo yako.
 
Ntaleta hapa jioni. Kifupi n kutoa some la kutosha kuhusu madhara ya kula na kuliwa tigo Kwa watoto wetu
Hapo sawa,tunataka vitu vyenye uhakika,and kuhusu madhara yapo wazi lile tundu halikuwekwa kwa madhumuni ya kujamiana.
 
inasemekana watu wanaopinga huu mchezo hadharani,ndio wadau wakubwa faraghani....IMETHIBITISHWA.
 
Huu ni mtandao wa jamii na kazi yake ni kuelimisha jamii.

Kuna hii tabia imeibuka ya ufanywaji mapenzi kinyume cha maumbile. Dunia imeharibika hii sio mchezo. Asilimia kubwa ya wanawake tulishapitia dhahama ya kuombwa huo mchezo na wengine wameshafanyishwa kabisa.

Najiuliza jamani haya mambo nyie wanaume mmejifunzia wapi? Yana raha gani mkiulizwa? Na msipofanya mtakuwaje?

Acheni kuwachezea watoto wa watu hao ndo mama na binti zenu wa kizazi kijacho

cc kwa serikali
Ombi kwa serikali yetu, kuna haja ya kufanya kampeni juu ya jambo hili, vijana wa kike na wa kiume wanapaswa kujulishwa madhara yake, wanapaswa wajitambue.
Binti,si useme ukweli kama na ww ulishawah kulambwa kisado kuliko kusingizia ulipata dhahama ya kuombwa?
Ukweli utatuacha huru
 
Wanawake ndio mabilisi wa huu mchezo.... Unalinda Bikira kwa kutoa kinyeo.... Shughuli ipo kwenye kuzaa sasa
 
Huu ni mtandao wa jamii na kazi yake ni kuelimisha jamii.

Kuna hii tabia imeibuka ya ufanywaji mapenzi kinyume cha maumbile. Dunia imeharibika hii sio mchezo. Asilimia kubwa ya wanawake tulishapitia dhahama ya kuombwa huo mchezo na wengine wameshafanyishwa kabisa.

Najiuliza jamani haya mambo nyie wanaume mmejifunzia wapi? Yana raha gani mkiulizwa? Na msipofanya mtakuwaje?

Acheni kuwachezea watoto wa watu hao ndo mama na binti zenu wa kizazi kijacho

cc kwa serikali
Ombi kwa serikali yetu, kuna haja ya kufanya kampeni juu ya jambo hili, vijana wa kike na wa kiume wanapaswa kujulishwa madhara yake, wanapaswa wajitambue.

Tuwaulize nyie wanawake. Nyie ndo mnaotufundisha mpaka tumezoea sasa afu mnaanza kulalamika humu!
 
nilichogundua mimi baada ya kusoma comment za wadau kila mmoja anajifanya kukemea na kulaani laana anazozijua yeye hali ya kuwa wapo wafanyaji na wafanywaji ila humu wote tunaigiza uungwana.
ila nyuma ya pazia kila mtu anayajua yake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom