HOT:Angalia uefa na ligi zote bure

HOT:Angalia uefa na ligi zote bure

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,377
jiunge na vodacom wajanja 9t kwa 200 ingia google then search hii 'Watch 1 vs 2 live
stream free ronaldo7.net' kwenye 1 vs 2 weka timu zinazocheza mfano 'Watch Anzhi vs Liverpool live
stream free ronaldo7.net' nashauri muangalie mechi kupitia links za tensports maana haigandi
 
voda internet yao ya kijinga sana.. Nawahsuri watu wasiamini internet ya voda. Wajinga sana hawa jamaa
 
kwahyo unashaur tutumie ipi .. hapa tunasimama kwenye ukweli sio promo
 
voda internet yao ya kijinga sana.. Nawahsuri watu wasiamini internet ya voda. Wajinga sana hawa jamaa

mbona ndio naitumia toka nimenunua ile modem yao mpya halafu spidi ipo poa sana.. au upo maeneo ambayo voda inabifu lamawasiliano..
 
mbona ndio naitumia toka nimenunua ile modem yao mpya halafu spidi ipo poa sana.. au upo maeneo ambayo voda inabifu lamawasiliano..

Niko maeneo fresh tu .. Nimeenda hadi pale mliman city customer care wakanibadilishia line ... Ila haikufanya kazi vile vile. Tztizo hawajui hata tatizo ni nini .hawatoi maelezo yanayoeleweka
Sijazoe bado internet zao.
 
We upo dunia gni errrrrooh kwa tarifa yko hakuna net kama ya voda ina uwezo wa kwend mpk 3mbps cjui utakuwa usha nisoma kma bdo uliza upewe soma mm kila usiku mpka asubuhi na uwezo waku download mvie 5 za 650-900mb kwa net ya voda. We taja hyo yko na uwezo wke sio udis tu bila kuwa na uelewa wwte
 
Ina niuma ukudis net ya voda aseeeh!!!!! Hembu jiulize net ipi tz una stream video online bila kukata? ???? An mbli mtandao upi tna una weza ji subscribe dstv mobile uchc live
 
Almost mitandao yote ina spee sawa, kikubwa itategemea eneo ulilopo. Mfano: nikiwa maeneo ya hapa chuo, hakuna ata mtandao mmoja ambao nna uwezo wa kuangalia YouTube video 20sec bila kuganda... hakuna... (kama unabisha tafuta mdau udom)... but nikiwa maeneo ya mjini, nimeshuudia voda, tigo, even airtel mtu akidownload series (up to 4gb) per day.
 
Kwa sasa nafikiri Zantel ni bora zaidi kuliko mtanadao wowote
 
Airtel ni nzuri ila ujinga wao ni kuwa ukiweka pesa nyingi (kuanzia mb 150) na kuendelea ndiyo speed inakuwa nzuri unaangalia online video kama vile zipo offline hakuna streaming, lakini kama unaweka sh 500 basi speed ni ya kinyonga, kwahiyo kwa airtel ukiwa masikini kama mimi haitakufaa.
 
Bila kusahau Zantel 3G na EVDO fresh tu...

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom