Hospitali ya KCMC Moshi! limebaki jina tu.

Bongo kila kitu kimebaki History even history yenyewe

We cant allow ths! let us chase away gambas coz they are main source of all evils in our country. you bad people, (c c m)! dont make everythng remain as history.
 
KCMC wanapata ruzuku kutoka hazina kulipa wafanyakazi na shughuli za Maendeleo (UNAUDITED) in billions

KCMC wanapata pesa kutoka kwa wagonjwa kwa malipo ya huduma

KCMC wanapata pesa za sadaka kutoka kwa wafadhili na waumini

Kama siyo ufisadi nipeni jina lingine
 
Ndio mkuu hata mimi ndugu yangu yamemkuta hayo hayo.
Huyo Doctor ni mlevi na malaya ile mbaya, ni mla rushwa mzuri sana.

*Jina lake la utani niliambiwa lakini sio busara kulitaja hapa.
Punguza uoga inafaa kuisadia jamii yetu, taja angalau initials za jina lake na la ukoo nivute kumbukumbu vizuri, hilo la utani sijawahi kulisikia maana jamaa tulipotezana tukiwa O-level mkoani mwanza
 
Du imekuwaje tena? Msamaria mwema siku hizi amejitoa kufadhili tena ile hospital? It was the best hospital ever miaka ya nyuma. Ila tu kama maslahi ya watumishi yangeboreshwa hasa sekta muhimu kama elimu na afya usingekuta waalim, manesi na madaktari wanafanya biashara wakati wa kazi!! Ila kwa allowance za bunge na maeneo mengine tuko mstari wa mbele wakati hata night allowance kwa hawa watu hakuna. Nilisema kuwa kutangaza kumaliza mgomo si kufanya kazi bali ni kiiini macho!! Kwa taarifa tu hizi sekta za afya na elimu bado ziko katika mgomo!!! Matendo yao yanadhihirisha!! Huko mkoa mpya wa katavi si mmesikia ya waalim? Udhaifu wa maamuzi umefikisha yote haya!!
 
Punguza uoga inafaa kuisadia jamii yetu, taja angalau initials za jina lake na la ukoo nivute kumbukumbu vizuri, hilo la utani sijawahi kulisikia maana jamaa tulipotezana tukiwa O-level mkoani mwanza

ngoja atatajwa!
 
Punguza uoga inafaa kuisadia jamii yetu, taja angalau initials za jina lake na la ukoo nivute kumbukumbu vizuri, hilo la utani sijawahi kulisikia maana jamaa tulipotezana tukiwa O-level mkoan mwanza

Atatajwa tu hapa
 
Ndio mkuu hata mimi ndugu yangu yamemkuta hayo hayo.
Huyo Doctor ni mlevi na malaya ile mbaya, ni mla rushwa mzuri sana.

*Jina lake la utani niliambiwa lakini sio busara kulitaja hapa.

Huyo dokta ni matata sana.
 
Aisee hili tatizo lililopo hospital ya kcmc c ndogo! nshasikia watu zaidi ya 5 kwa nyakati tofauti wakilalamika due to the poor service! unaenda na mgonjwa anageuzwa teaching aid kwa wanafunzi wa udaktari pale, this is too bad!
 
Even those students, in that way they i'll never be competent
 
hakuna hosptal ya umma ilio hai tz ndo maana kila alienazo ni india
Kwa wale mliofika siku za
karibuni hapa kcmc mtakubaliana na mimi, hospital hii kubwa na maarufu
haitoi tena huduma za kueleweka, wanaofanya kazi sasa kama madaktari ni
wanafunzi..Hili ni tatizo kwani linazorotesha sana huduma..tabu
tupu
 
aaaa wapi lukivi katuambia jana tumejenga shule nyingi vyuo vikuuu nk sasa iweje iwe mbovu zaidi kuliko hapo mwanzo ambapo hapakuwa na wasomi
 
du nimejifungua pale miez 9 iliyopita haikuwa mby sn though c km miaka ya nyuma..

Sasa ivi usiende tena Flora, wale wanafunzi wanafanyia miili ya watu majaribio yakujifunzia kwa njia isiyo sahihi! hii inaumiza!!
 
jamani nani anawatetea kcmc?,huyo anayetetea uoza wa pale inawezekana ni mtumishi wa pale au ana ndugu yake pale,

hebu nenda hata leo pale kcmc kuanzia hapo casuality pameoza,ni kweli wagonjwa wanafikishwa pale wakiwa mahututi unaona kabisa manesi wanapishana tu wala hawaangalii cha mgonjwa mahututi wala nini,kcmc ya sasa si ile ya zamani ambako huduma zilikuwa nzuri sana,leo kama huna ndugu yako pale kcmc inaweza kukuchukua siku nzima bila kupata huduma.

kuna huu mfumo wa watumishi kubeba mafaili ya wagonjwa,hapo ndo kasheshe ya kufa mtu.

ukifika medical record,unaonyehsa kadi yako,mpaka faili lipatikane ni mwendo wa saa moja na zaidi,likipatikana mpaka lipelekwe sehemu ya malipo inakuchukua mwendo wa saa moja na ushee,ukishalipia faili linapelekwa kwa daktari mpaka ufikiwe ni mwendo wa zaidi ya saa moja.

sasa fikilia kama unamgonjwa anahitaji matibabu ya haraka hawezi kufa kabla ya kumuona daktari?.

nenda kwenye wadi za wagonjwa,watu wamelazwa chini utafikili ni maiti wa ajali wanaosubiri kutambuliwa na ndugu zao,hapo bado mnasema huduma ni nzuri kcmc?,tusifanye ushabiki kwenye masuala yanayogusa uhai wa binadamu,wateteeni kcmc lakini ukweli unabaki pele pale kwamba huduma ni mbovu tena ile mbayaaaaaaaaaaaa.haina tofauti na mawenzi ambayo sasa inaitwa hospital ya rufaa ya mkoa,huu ni upuuzi kweli kweli.

Hospital ya rufaa ya mkoa isiyokuwa na dawa,isiyokuwa na huduma ya X-Ray,isiyoweka dawa kidonda cha mtu aliyeumia.

sasa hivi wana mradi wa kuuza dawa,zile dawa za bei ghali zinauzwa nje ya hospital kwenye duka la dawa la kilimani,na hawana hata haya wanakwambaia nenda kanunue hizi dawa kilimani,je kwa nini isiwe sehemu nyingine?,hapo kilimani wana ubia gani hao madaktari wa hospital ya mawenzi?,lakini atatokea kichaa mwingine akatetea huduma nzuri mawenzi kama wanavyotetea kcmc,ajabu na kweli.
 
aaaa wapi lukivi katuambia jana tumejenga shule nyingi vyuo vikuuu nk sasa iweje iwe mbovu zaidi kuliko hapo mwanzo ambapo hapakuwa na wasomi

Lukuvi si wale wale? umewahi kusikia lukuvi kaenda kutibiwa kcmc? au hospital yoyote hapa nchini? kama sio kwenda nje ya nchi? hana lolote
 
jamani nani anawatetea kcmc?,huyo anayetetea uoza wa pale inawezekana ni mtumishi wa pale au ana ndugu yake pale,

hebu nenda hata leo pale kcmc kuanzia hapo casuality pameoza,ni kweli wagonjwa wanafikishwa pale wakiwa mahututi unaona kabisa manesi wanapishana tu wala hawaangalii cha mgonjwa mahututi wala nini,kcmc ya sasa si ile ya zamani ambako huduma zilikuwa nzuri sana,leo kama huna ndugu yako pale kcmc inaweza kukuchukua siku nzima bila kupata huduma.

kuna huu mfumo wa watumishi kubeba mafaili ya wagonjwa,hapo ndo kasheshe ya kufa mtu.

ukifika medical record,unaonyehsa kadi yako,mpaka faili lipatikane ni mwendo wa saa moja na zaidi,likipatikana mpaka lipelekwe sehemu ya malipo inakuchukua mwendo wa saa moja na ushee,ukishalipia faili linapelekwa kwa daktari mpaka ufikiwe ni mwendo wa zaidi ya saa moja.

sasa fikilia kama unamgonjwa anahitaji matibabu ya haraka hawezi kufa kabla ya kumuona daktari?.

nenda kwenye wadi za wagonjwa,watu wamelazwa chini utafikili ni maiti wa ajali wanaosubiri kutambuliwa na ndugu zao,hapo bado mnasema huduma ni nzuri kcmc?,tusifanye ushabiki kwenye masuala yanayogusa uhai wa binadamu,wateteeni kcmc lakini ukweli unabaki pele pale kwamba huduma ni mbovu tena ile mbayaaaaaaaaaaaa.haina tofauti na mawenzi ambayo sasa inaitwa hospital ya rufaa ya mkoa,huu ni upuuzi kweli kweli.

Hospital ya rufaa ya mkoa isiyokuwa na dawa,isiyokuwa na huduma ya X-Ray,isiyoweka dawa kidonda cha mtu aliyeumia.

sasa hivi wana mradi wa kuuza dawa,zile dawa za bei ghali zinauzwa nje ya hospital kwenye duka la dawa la kilimani,na hawana hata haya wanakwambaia nenda kanunue hizi dawa kilimani,je kwa nini isiwe sehemu nyingine?,hapo kilimani wana ubia gani hao madaktari wa hospital ya mawenzi?,lakini atatokea kichaa mwingine akatetea huduma nzuri mawenzi kama wanavyotetea kcmc,ajabu na kweli.

mpaka 2015..magamba waondoke madarakani sijui watakuwa wamebakisha sekta gani ikiwa hai
 
Back
Top Bottom