Hospitali ya Bugando yataka wanaoingia na kutoka hospitalini kuacha Barakoa zao getini wanapoondoka

Walitoa hilo tangazo, lakini baada ya malalamishi wakabadilisha. Sasa kikozi kazi kilichofunguliwa na baraka za jiwe wakiamua kukubebesha makosa watakuminya naniii tu na kusema unapotosha umma...watch it.
WhatsApp Image 2020-04-24 at 20.07.23.jpeg
 
Watairudisha kwa maana ya kuidispose...maana mtu akitoka nayo hospital akaenda nayo mtaaani itakua Ni risk kubwa Sana nafikiri unajua akili zetu wabongo..mtu anarudi nayo home alaf anampa mtoto achezee..au wengine watajifanya Bugando ndo sehem ya kuchukua barakoa.
 
Walitoa hilo tangazo, lakini baada ya malalamishi wakabadilisha. Sasa kikozi kazi kilichofunguliwa na baraka za jiwe wakiamua kukubebesha makosa watakuminya naniii tu na kusema unapotosha umma...watch itView attachment 1429992

Bora hiyo ya awali ya kuzirejesha getini ili zikatiwe kiberiti, humo hospitalini kuna uwezekano mkubwa hiyo barakoa itakua imesheheni kirusi na ukitoka nje ya geti na kwenda na hiyo barakoa mtaani ni hatari sana.
 
Nashangaa watu wanabeza njia ya kwanza wakati ndo ipo poa zaidi
 
Back
Top Bottom