Hospitali ya Bugando yataka wanaoingia na kutoka hospitalini kuacha Barakoa zao getini wanapoondoka

Dahhhhh no seriousness kabisa hutatakiwi onewa huruma na mtu yeyote hatufaham kinachoendelea baada ya kutumia izo barakoa ila ni uchizi zaidi kukuta hospitali bingwa yenye wataalamu wa afya best ....wanakuja na maamuzi yakihayawani kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana wewe ndiye chizi na hayawani. Walichokifanya Bugando ni sahihi, wamefanya risk analysis. Barakoa ni chanzo cha maambukizi kisipowekwa vizuri, mwingine anaweza ichukua akaitumia hata mwezi tena kila siku wakati ni kwa 3-8 hours only. Sasa ewe chizi hutaelewa kwa sababu huna akili.
 
Write your reply...wasitupangie nikikaribia kutoka mjengoni naiweka mfukoni siwezi kununua barakoa kila siku hio hio moja inatosha
 
Dahhhhh no seriousness kabisa hutatakiwi onewa huruma na mtu yeyote hatufaham kinachoendelea baada ya kutumia izo barakoa ila ni uchizi zaidi kukuta hospitali bingwa yenye wataalamu wa afya best ....wanakuja na maamuzi yakihayawani kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta ukweli kabla ya kudhihaki. BMC wanaingia watu wengi kutoka sehemu mbali mbali. Kama barakoa yako imenasa ugonjwa ni rahisi kuiteketeza kuliko kukuachia, uende kusambaza mtaani.
Lengo la kuicha jetini ni zuri lakini sio kwaajili ya kutumika kwa mtu mwengine.
 
Umejaribu kutafuta jibu la kwanini zinarudishwa au umekuja na mawazo yako tu ambayo bila shaka hayana ukweli
Kwel ww ni mzee wa kale kabisa, hujasoma hata huyo attachment mkuu, sasa mtoa mada kaleta uongo Gan , hii Nchi Ina watu Wa hovyo Sana aisee, kila kitu kupindisha tuu, sasa ww toa jibu kwa nn MTU arudishe barakoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwel ww ni mzee wa kale kabisa, hujasoma hata huyo attachment mkuu, sasa mtoa mada kaleta uongo Gan , hii Nchi Ina watu Wa hovyo Sana aisee, kila kitu kupindisha tuu, sasa ww toa jibu kwa nn MTU arudishe barakoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo attachment haijaeleza sababu ila uongozi wa hospitali umeeleza sababu ya kufanya hivyo... Using'ang'anie attachment tu kuna maelezo ya ziada wameyatoa mzee... Utu uzima dawa

Kuhusu jibu kwanini wamefanya hivyo endelea kuperuzi huu uzi utakutana nalo na uache kukurupuka kuwajibu watu wazima
 
Kwani kuna tatizo kurudia kuzivaa?

Hivi hao corona wana mapenzi na barakoa tu hadi waendelee kuishi hapo?

Vipi kuhusu Nguo,ambazo unaingia nazo hospitali na utazivaa tu tena?

Virusi wa corona wanaishi muda gani kwenye mask na Nguo?

Bora ungesema wanatunza mazingira tu.Zaidi ya hapo hakuna sababu nyingine
Simply wanataka wazidispose, wanajua mkirudi nazo majumbani mtarudia kuzivaa, Umeelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwel ww ni mzee wa kale kabisa, hujasoma hata huyo attachment mkuu, sasa mtoa mada kaleta uongo Gan , hii Nchi Ina watu Wa hovyo Sana aisee, kila kitu kupindisha tuu, sasa ww toa jibu kwa nn MTU arudishe barakoa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo kubwa la watanzania Ni kupenda umbeya na kutafuta tatizo zaidi kuliko Solution. Kila mtu mjuaji.

Ungekuwa na akili wewe unayejiona hutazeeka ungepongeza kwanza. Pili ungejua kuwa hao Ni wataalamu kuliko wewe Mr MODERN MAN. Tatu. Ungatambua Pia aina ya watu , Sisi watanzania tulivyo. Possibility ya watu kuuza Hizo barokoa Ni kubwa kuliko mlichoandika hapa. Kuazimana Pia na hata kuitumia kwa muda mrefu sio kama kinga Ila kukwepa mamlaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazo zuri kwa sababu pale hospitalini ni high risk area ili hali watanzania wengi bado hawajaju matumizi sahihi ya mask, imagine umetoka nayo hospitali imebeba vijidudu alafu unafika nyumbani unaiweka kwenye kochi, atakae kuja kushika hapo halafu akajishika masikio, macho, pua au mdomo anakua ameshaukwaa.
 
Hawa watu wa Bugando sijawaelewa Hizi barakoa hawataki mtu aondoke nazo kwa Nini. Je zitatumika Mara mbili.
Soma hiyooo
Screenshot_20200425-123503.png
 
Back
Top Bottom