Tukubali au tukatae, wake zetu huliwa nje ya ndoa

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,416
7,969
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wake zetu wanaliwa nje ya ndoa. Hii tukubali au tukatae, ni ukweli usiopingika. Wake zetu ama watatembea nje ya ndoa kwa kutaka kuonja utamu wa nje, ama ni kwa kutafuta watoto, ama kwa ajili ya kupata pesa, ama kwa tabia zao tu za umalaya.

Wengine ni kwa kushawishiwa na marafiki zao jinsi wanavyoelezea ngono za staili mpya mpya, wengine ni kwa ajili ya magomvi na waume zao, wengine huliwa na viongozi wa dini, zipo sababu ambazo sisi wanaume tunasababisha, tunachangia na zingine ni kwa ukware wa wake zetu, al mradi sababu ni nyingi mno.

Wake zetu wanaliwa sana, tena sana hasa sisi ambao hujigamba kuwa tuna wake wenye heshima ndio hao hao wanaliwa kwa mpalange. Basi busara tukae kimya, tuache kujigamba kwamba wake zetu ni waaminifu, sio kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wake zetu wanaliwa nje ya ndoa. Hii tukubali au tukatae, ni ukweli usiopingika. Wake zetu ama watatembea nje ya ndoa kwa kutaka kuonja utamu wa nje, ama ni kwa kutafuta watoto, ama kwa ajili ya kupata pesa, ama kwa tabia zao tu za umalaya.

Wengine ni kwa kushawishiwa na marafiki zao jinsi wanavyoelezea ngono za staili mpya mpya, wengine ni kwa ajili ya magomvi na waume zao, wengine huliwa na viongozi wa dini, al mradi sababu ni nyingi mno.

Umepiga mkuu....usitake wako akiliwa nje basi na wetu waliwe.

Pole sana yaliyokukuta
 
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wake zetu wanaliwa nje ya ndoa. Hii tukubali au tukatae, ni ukweli usiopingika. Wake zetu ama watatembea nje ya ndoa kwa kutaka kuonja utamu wa nje, ama ni kwa kutafuta watoto, ama kwa ajili ya kupata pesa, ama kwa tabia zao tu za umalaya.

Wengine ni kwa kushawishiwa na marafiki zao jinsi wanavyoelezea ngono za staili mpya mpya, wengine ni kwa ajili ya magomvi na waume zao, wengine huliwa na viongozi wa dini, al mradi sababu ni nyingi mno.

Wake zetu wanaliwa sana, tena sana hasa sisi ambao hujigamba kuwa tuna wake wenye heshima ndio hao hao wanaliwa kwa mpalange. Basi busara tukae kimya, tuache kujigamba kwamba wake zetu ni waaminifu, sio kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaoa hukuti bikira, unatarajia nn
 
Pole Naona leo thread zako ni kugongewa tu
 
Pole sana
Mungu akutie nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom