Mtoto wa kijiji
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 319
- 185
Nimeifahamu hii hospitali kwa muda mrefu tangu nikiwa mdogo. Ilikua ni hospitali nzuri sana, ila kwa hili lililotoke wiki moja ilopita sina hamu na hii hospitali
Tulimpeleka dada yetu akiwa anasumbuliwa na tumbo, akapimwa kujua nn tatizo tumboni kupata hayo majibu sasa ndio balaa, kila ukiuliza jibu ni vipimo viko baabara mtu yuko kitandani analalamika kua anatesema. Hakuna aliyekua akijali.
Tukaomba ndugu mmoja alale na mgonjwa usiku kutokana na hali ya dada kua mbaya, walikataa. Tukaona tujiongeze tu kwa kweli. Tukatoa ka mkwanja kidogo ndio tukakubaliwa.
Maabara nako tukajiongeza kwa kutoa kitu kidogo. Tukapewa majibu kuwa dada alikua na vidonda vya tumbo kufika usiku saa tatu ya tar 1 Aug Dada akafariki. Nina uzuni tele hapa nilopo.
Kwa mwendo huu wa rushwa hakika wengi tutatangulia mbele ya haki.
Hii hospitali imekuwa hovyo kabisa..