Hongereni wana Mbeya na poleni wana Mwanza

Acha uongo,mimi ni mwanamwanza na niko Mwanza.Usitusemee.
 
Oooh mara hatolewi mbeya mara ooh makalla hawezi Mbeya. Mbona ndio kawa promoted kuwa RC Dar!! Na huyo katolewa Mbeya ambako ulidai kapaweza.

Pathetic
Wewe ni kiazi ,wewe na genge lako mlikuwa mnapiga zumari atolewe u RC sasa kapewa shavu zaidi.

Aliyeumia hapa ni wewe au mimi? Narudia nilisema hatakiwi kutolewa kuwa RC na kiufupi angebakizwa Mbeya azidi kuwanyoosha wezi nyie ndio maana saizi mnashangilia kuhamishwa .

Mumeletewa viazi Ili muwe mnaviendesha huo Mkoa utapata hasara Sana this time arouund
 

Wrong perspective
 
Chalamila awe na busara?
Atazipata wapi hizo busara?
Chalamila ni sifuri yule, amepelekwa Mwanza kwenda kukaangwa na mafuta yake.
 
Atakayekataa hili anajidanganya. Mwanza ni ngome ya CHADEMA na upinzani tangu 1995. Mfano, CCM haiwezi kujivunia chochote kwenye wilaya ndogo tu ya Ukerewe.
 
Nahisi umenielewa vizuri kabisa,kama mama atakuwa amekosea hapa,ajue wazi amekosea pakubwa,si amini kama kama anaweza kufanya kosa kubwa la kimkakati kama hilo.
Umeongea facts tupu tangu mwanzo, lakini kete ya Chalamila bado si kete bora kwa Mwanza. Nilimuona Benith Mahenge kama chaguo sahihi kwa post hiyo. Kiujumla Mwanza si Mji wa harakati, ni Mji wa slow but sure. Ni Mji ambao ukipita unaweza kudhani hakuna kinachoendelea, lakini kumbe kuna makubwa chini kwa chini. Kuna mambo makubwa yanafanyika Nyamuhongolo, Kitangiri, Nyakato na fungakazi Mkolani, lakini huwezi kusikia mwangwi wake mpaka utakapiyashuhudia viwanja vya Furahisha.
Nadhani wewe mwenyeji umenielewa.
 
Nakumbuka kuna mgomo ulifanyika Mbeya, Chalamila alifungia soko lote wiki nzima, Watu walilia natunda yao n a vyakula walivyopika vitaoza lakini huyu Chalamila akasema haimuhusu.

Achana kabisa na Chalamila, Mbeya nimekaa sana ila huyu Chalamila ni kiboko, Walienda kupigia magoti kabisa.

Lambalamba wale nao walifungiwa, Siku wanahojiwa mike hazisikiki.

Mwanza mjiandae
 
Kwani wewe ni mwana Mbeya na unaishi Mbeya na ukapewa usipika kwa wana Mbeya?
 
watu wa MWANZA hawako hivyo atajikuta ukali wake hauna mahali pa kutumika,hawajui mambo ya migomo,kurumbana sio ishu zao hizo,kwa hiyo wewe ni mkali utajikuta ni eneo linalo boa,wanacho kitaka fanya kilicho kuleta matunda yaonekane,usipo fanya wanajua la kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…