Hongereni wana Mbeya Mjini mmepata jembe, Dr.Tulia Ackson atawafaa sana 2020

hongera kwa shindano. ila usiwaze kumtoa Sugu labda iwe viti maalum. ila hongera sana kwa shindano la mbio na lile la ngoma.
 
440e2839c627a00a9fe8a7bedc12d8b4.jpg
Kamanda tupo nyuma yako
 
We jamaa una uchanganuzi mwepesi kwa hiyo kuanzisha marathon ndo kuwa karibu na wat...?jipange mbeya hapaingiliki kitoto na hampati hata arusha,ushind hauji kwa chuki na visasi
 
Kuna watu vyumba na giza vimewasaidia sana kujulikana na kupata fursa za ulaji. Hii ni tofauti na walikopitia akina Sugu na wengineo wa mfano wake.
 
Wanataka wakafanye figisu figisu zao za uspika mbeya mjini atatolewa nduki.sugu c wa mchezo mchezo
 
Dr. Tulia ameshajiwekea Mizizi yake mikuu katika hili Jimbo kinachosubiriwa ni 2020 tuu pale wananchi watakapoamua kwenda na Dr. Tulia Ackson ambaye pia ni Naibu spika wa Bunge ambaye amefanikiwa kwa Kiwango cha juu kuliendesha Bunge akiwa na tabia ya kutomuangalia nyani usoni akitaka kumuua.

Dr Tulia ameshaanza kuwa karibu na wananchi kwa kudhamini Tulia Marathon zitakazofanyika katika Uwanja wa Sokoine-Mbeya mjini.

2020 siyo mbali yetu macho.
 
Atalisikia tu kuna jimbo linaitwa mbeya mjini halipati ng'o
 
Mbeya nayoijua mimi sii ya wanafiki kama unavyofikiri,Huyu binti atawafaa jimbo la Magogoni,amewafunga wapinzani Midomo kwa kutumwa na jimbo lake la Magogoni,Kama huijui Mbeya bora uende uone watu walivyo full extreme,Uoga wenu wa Manzese na arusha pelekeni kwenu,Naona jimbo litalomfaa ni Magogoni pekee,Mbeya City ilimshinda MNAFIKI MPESYA.
Mubasharaah!
 
Dr. Tulia ameshajiwekea Mizizi yake mikuu katika hili Jimbo kinachosubiriwa ni 2020 tuu pale wananchi watakapoamua kwenda na Dr. Tulia Ackson ambaye pia ni Naibu spika wa Bunge ambaye amefanikiwa kwa Kiwango cha juu kuliendesha Bunge akiwa na tabia ya kutomuangalia nyani usoni akitaka kumuua.

Dr Tulia ameshaanza kuwa karibu na wananchi kwa kudhamini Tulia Marathon zitakazofanyika katika Uwanja wa Sokoine-Mbeya mjini.

Kama ana mipango hiyo mwambie asahau na akamwambie dikt. magu ampe jimbo la magogoni mbeya mjini ataisikia kwenye bomba
 
Back
Top Bottom