Hongereni wana Mbeya Mjini mmepata jembe, Dr.Tulia Ackson atawafaa sana 2020

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Dr. Tulia ameshajiwekea Mizizi yake mikuu katika hili Jimbo kinachosubiriwa ni 2020 tuu pale wananchi watakapoamua kwenda na Dr. Tulia Ackson ambaye pia ni Naibu spika wa Bunge ambaye amefanikiwa kwa Kiwango cha juu kuliendesha Bunge akiwa na tabia ya kutomuangalia nyani usoni akitaka kumuua.

Dr Tulia ameshaanza kuwa karibu na wananchi kwa kudhamini Tulia Marathon zitakazofanyika katika Uwanja wa Sokoine-Mbeya mjini.


 
Tunaoifahamu Mbeya sidhani kama matarajio yake yatafanikiwa.

Sana atapoteza resources zake tu.Kwetu tupo na Jembe Sugu.Kama hataki ndivyo hivyo ilivyo.Labda lile Jimbo wanalotayarisha la Kyela.Lakini kwa Mbeya I don't think so.

Maana Mbeya ya Sugu si.sawa.na ilivyo kuwa chini ya Chama Cha Majambazi
 
440e2839c627a00a9fe8a7bedc12d8b4.jpg
 
Mbeya nayoijua mimi sii ya wanafiki kama unavyofikiri,Huyu binti atawafaa jimbo la Magogoni,amewafunga wapinzani Midomo kwa kutumwa na jimbo lake la Magogoni,Kama huijui Mbeya bora uende uone watu walivyo full extreme,Uoga wenu wa Manzese na arusha pelekeni kwenu,Naona jimbo litalomfaa ni Magogoni pekee,Mbeya City ilimshinda MNAFIKI MPESYA.
 
Mmmmmmh! Ama kweli dunia ina maajabu mengi hili la Dr Tulia kushinda ubunge mbeya mjini likiwa miongoni. Na ikitokea ikawa hivyo Mimi " say no to actors" nitatembea uchi kutoka Musoma mpaka Mbeya kumpongeza.


By Kamanda wa KIRIBA kwa sasa ARUSHA kuhakikisha LISSU anashinda
 
Back
Top Bottom