Hongereni wana Mbeya Mjini mmepata jembe, Dr.Tulia Ackson atawafaa sana 2020

DOCTOR TULIA FOR MBEYA
Standard Seven Sugu a.k.a Beckham a.k.a Ronaldo anamalizia mda wake sasa.
Naona unapima upepo? Bilashaka umejionea mwenyewe kitakachojili.
Halafu nikushauri kitu? Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako usikurupuke tu. Kwa sasa watu wanachuki na serikali hii kuliko wakati mwingine wowote hata ccm wenzio
 
Say no to actors: NISHIKIE CHUMBA HAPO ARUSHA NAKUJA KUPIGA KURA YA URAIS WA TLS KWA NGWIJI WA SHERIA WAKILI MSOMI TUNDU ANTIPAS LISSU. MWINGINE WA NINI? KAMA HARISONI NA JONI HAWATAKI BASI WAHAME NCHI.
 
Hilo jimbo la mbeya mjini huyo tulia anajisumbua hapo aende na aliyembeba wote waadhirika peupeee! Ni sawa na jimbo la arusha Mjini lema kawekwa kizuizini ili wajiimarishe kisiasa lakini cku akitoka mji mzima wananchi wanamsubili kwa hamu mkubwa mbunge wao kipenzi!
 
Dr. Tulia ameshajiwekea Mizizi yake mikuu katika hili Jimbo kinachosubiriwa ni 2020 tuu pale wananchi watakapoamua kwenda na Dr. Tulia Ackson ambaye pia ni Naibu spika wa Bunge ambaye amefanikiwa kwa Kiwango cha juu kuliendesha Bunge akiwa na tabia ya kutomuangalia nyani usoni akitaka kumuua.

Dr Tulia ameshaanza kuwa karibu na wananchi kwa kudhamini Tulia Marathon zitakazofanyika katika Uwanja wa Sokoine-Mbeya mjini.



labda aende chato
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Back
Top Bottom