Hongereni wana Mbeya Mjini mmepata jembe, Dr.Tulia Ackson atawafaa sana 2020

Kama chadema wakimsimamisha Lowassa kugombea urais nakwambia chadema itapoteza wabunge wengi !! Walitudanganya na kutulagai vya kutosha!! halafu ni kwamba wabunge wengi walipata kura kwa sababu ya hasira juu ya CCM!! Mheshimiwa aachilie ajira tu na mikopo ya kibenki hatutakuwa na sababu yakuipigia kura chadema ya Lowassa na mbowe na sumaye!!labda Dr silaha akirudi chadema;;
Njaa, kwani bk7 imesimamishwa?
 
Kwamba ccm tumeishiwa watu hadi awe tulia mm mwenyewe ccm dam lkn tulia simpendi yuko chini ya viwango lkn kama tunataka kishiriki tu uchaguz
 
Kama chadema wakimsimamisha Lowassa kugombea urais nakwambia chadema itapoteza wabunge wengi !! Walitudanganya na kutulagai vya kutosha!! halafu ni kwamba wabunge wengi walipata kura kwa sababu ya hasira juu ya CCM!! Mheshimiwa aachilie ajira tu na mikopo ya kibenki hatutakuwa na sababu yakuipigia kura chadema ya Lowassa na mbowe na sumaye!!labda Dr silaha akirudi chadema;;
Hiki nn
Lowassa ameingiaje kwa tulia na Sugu hebu tulia kwanza kabla hujapata sugu

Sizonjemadawa
 
Ha haaa haaaa kama alikuwa anapima upepo naona haya maoni kidogo ya hizi comments ataacha kabisa!
Hakuna hata moja inayomsaport !! hatari sana
 
Dr. Tulia ameshajiwekea Mizizi yake mikuu katika hili Jimbo kinachosubiriwa ni 2020 tuu pale wananchi watakapoamua kwenda na Dr. Tulia Ackson ambaye pia ni Naibu spika wa Bunge ambaye amefanikiwa kwa Kiwango cha juu kuliendesha Bunge akiwa na tabia ya kutomuangalia nyani usoni akitaka kumuua.

Dr Tulia ameshaanza kuwa karibu na wananchi kwa kudhamini Tulia Marathon zitakazofanyika katika Uwanja wa Sokoine-Mbeya mjini.

Hivi Kyela kwenye Tulia marathon siju tradinational dance iko jimbo la Mbeya mjini kumbe
 
Dr. Tulia ameshajiwekea Mizizi yake mikuu katika hili Jimbo kinachosubiriwa ni 2020 tuu pale wananchi watakapoamua kwenda na Dr. Tulia Ackson ambaye pia ni Naibu spika wa Bunge ambaye amefanikiwa kwa Kiwango cha juu kuliendesha Bunge akiwa na tabia ya kutomuangalia nyani usoni akitaka kumuua.

Dr Tulia ameshaanza kuwa karibu na wananchi kwa kudhamini Tulia Marathon zitakazofanyika katika Uwanja wa Sokoine-Mbeya mjini.

Post imekaa kimbea mbea
 
CCM ni chama kikatili sana , wakishakutumia huwa wanakutupa jalalani , baada huyu dada kuitia aibu ccm ndani na nje ya nchi , na baada ya wananchi wema wakiongozwa na Ndugai kustuka , sasa ccm imeamua kumtupa kwenye jimbo la Mbeya ambalo wanadadisi wanasema ni sawa na kumtupa swala kwenye mto wenye mamba wakali , ili aliwe awaachie ccm yao .

Iko hivi , awali huyu dada walitaka kumchomeka Rungwe , lakini baada ya kubaini kwamba UKAWA ina kisiki kinachoitwa JOHN MWAMBIGIJA pale wakaamua kumbadilishia jimbo ( Ikumbukwe kwamba Sauli hakushinda Rungwe bali alitangazwa kwa mtutu wa bunduki , uliogharimu maisha ya wananchi kadhaa ) , sasa kumpeleka Tulia ackson ambaye anaongea kama vile anaimba BONGO FLEVA na ambaye hajui hata mwaka aliopewa kadi ya ccm ni balaa kubwa sana .

Sasa hapo Mbeya mjini ni sawa na kumfukuza ndani ya ccm , hatopata kitu , ( ikumbukwe kwamba Mh Sugu ndiye mbunge aliyepata kura nyingi kuliko wote kwanye uchaguzi wa 2015 )
 
Mleta mada acha kuwafananisha wana Mbeya na vitu vya kipuuzi,hawajawahi kula viwavi jeshi,wataanzaje kuichagua ccm?Kama anataka ubunge akagombee Dodoma.
 
Mwambie aache ujinga. Km anataka kichapo mwambie aje mbeya.
Sugu ndiyo rais wa Mbeya. Huyo mtu wenu mpeleke akasaidiane na mama wa uhakik ili wapige dili.
Ccm inawafaa wajinga ila siyo kwa watu wenye akili timamu na wazalendo
 
kwa sisi wa mbeya mtakesha sana sugu wetu katupatia maendelea lukuki na tunayaona anatutosha huyo mama aendelee na kuteuliwa tuu hata km mta mwaga matrion tutakula na hatopita nyota yake kaichafua mwenyewe bungeni.
Maendeleo gani katupatia sisi watu wa Mbeya labda kuongezeka kwa wahuni ndio maendeleo yenyewe sijaona mabadiliko aliyoyaleta huyo Sugu ungetuorodheshea hapa
 
Dr. Tulia ameshajiwekea Mizizi yake mikuu katika hili Jimbo kinachosubiriwa ni 2020 tuu pale wananchi watakapoamua kwenda na Dr. Tulia Ackson ambaye pia ni Naibu spika wa Bunge ambaye amefanikiwa kwa Kiwango cha juu kuliendesha Bunge akiwa na tabia ya kutomuangalia nyani usoni akitaka kumuua.

Dr Tulia ameshaanza kuwa karibu na wananchi kwa kudhamini Tulia Marathon zitakazofanyika katika Uwanja wa Sokoine-Mbeya mjini.

Mwambie aache ujinga. Afute kbsa hilo wazo kuanzia leo na asahau.
Huku hatutaki ujinga kbsa. Km hana kazi akamsaidie mama wa uhakiki ili wapige dili.
 
Mmmmmmh! Ama kweli dunia ina maajabu mengi hili la Dr Tulia kushinda ubunge mbeya mjini likiwa miongoni. Na ikitokea ikawa hivyo Mimi " say no to actors" nitatembea uchi kutoka Musoma mpaka Mbeya kumpongeza.

By Kamanda wa KIRIBA kwa sasa ARUSHA kuhakikisha LISSU anashinda

Hii tunaweka kumbukumbu sawa labda ungewapa mods details zako ili iwe rahisi nasie watu wa mikeka tupige hela. Mie ukitembea nitanunua odds za 50,000 kwamba huwezi kutoka musoma kichele mpaka mbeya.
 
Maendeleo gani katupatia sisi watu wa Mbeya labda kuongezeka kwa wahuni ndio maendeleo yenyewe sijaona mabadiliko aliyoyaleta huyo Sugu ungetuorodheshea hapa
Katika mambo yanayotukwamisha maendeleo tz
1. CCM
2. UJINGA
3. MARADHI
4. UMASKINI
Km hana kazi ya kufanya, mwambie akasaidiane na wapiga dili wenzake kuendesha kichaka cha maovu cha uhakiki wa hewa.
 
Back
Top Bottom