Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,229
- 4,781
Boy oh boy, nimefurahishwa na kushangazwa (amazed) if not confused na Chama Cha Waalimu nchini CWT. Sikuwahi kukifuatilia sana chama hiki kwa kuwa mimi si mwalimu ila kutoka na kazi yangu nimekuwa nikielewa migogoro isiyoisha ya uongozi wa chama and what not.
Nimekuwa nikikichukulia chama hiki poa hadi juzi nliposkia bajeti yao, kwa ajili ya mkutano wa wanachama huko rock city, imagine 7billions, whaaaaaaat!
Yaani billions 7 kwa ajili ya mkutano wa wanachama ili kujadili God knows what. Kwa jinsi walimu wanavyonangwa kwa maisha ya kubangaiza na unstable future nimegundua pia kuwa akili zao hazijakaa sawa.
Uarabuni na nchi nyingine wamejikaza wamejipiga piga wakapata 2billions wakapewa wahanga wa Hanang according to Mama, ila walimu mnaenda teketeza 7 billions kwa sherehe ya siku moja pale Mwanza, huku wanachama wenu wakiongoza kwa madeni dukani kwa mangi hivi mnaakili kweli? Inafika kipindi nashindwa kuamini kama Magufuli naye alikuwa Mwalimu.
Walimu muanze kufikiria kichwa, michango yenu mngekuwa mnafanyia ya maana mngeshatoka kimaisha. Hebu niambie bilioni 7 halafu mnachoambulia ni mtisheti oversize. Mnadharaulika sana.