Hongereni Wakenya kwa Kilimarathon

Hongereni Wakenya kwa Kilimarathon

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
Kweli kwenye marathon nyie mko vzuri
Asilimia kubwa ya wabongo marathon wanafanya show off tu, wanawake kuoneshaa misambwanda tu na Kuna midume nayo inaenda kuvizia madem tu
MK254

Ova
IMG-20200301-WA0016.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwa serious tukiwatrain wamasai au jamii za wafugaji,watatutoa kimasomaso,hawa siku zote maisha yao ni mchakamchaka
 
Tukiwa serious tukiwatrain wamasai au jamii za wafugaji,watatutoa kimasomaso,hawa siku zote maisha yao ni mchakamchaka
Wamasai labla kwenye kurukaruka lakini sio kufukuza upepo.
Hata Kenya wamasai wapo wengi lakini sijasikia hata mmasai mmoja huko ameibuka kidedea kwenye mashindano ya mbio.

Sent from my DUB-LX1 using Tapatalk
 
Huko huko pamoja na kuruka ruka kwao wakiwa trained vizuri kidogo watakuwa ni wakimbiaji wazuri sana mkuu
 
Manara angeamua kuwa wakwanza angeeza sema hakutaka sifa tu.
 
Back
Top Bottom