Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Hayo Tahmeed yanakwenda mwendo wa kunyata kama yapo kwenye msafara wa harusi au msiba.....
mkuu sio kweli nilipanda youtong moja ya Mombasa dar ilikuwa inafukuzana tawakal kinglong asee humo njiani ni AC n TV yao vilitutoa kwenye mood kama tupo kwenye ligi
 
Bora kama wanaweka viyoyozi maana hamna gari la kilimanjaro hata moja lenye kiyoyozi siti zao zimebana sana
 
Tahmeed ni kampuni ya mtanzania na kawekeza na kenya.Mwenyewe ni wa Tanga.Ofisi zake kuu zipo mombasa
 
Ni kweli mkuu na KBS zilikuwa ni ma Leyland hata likiwa mbali unajua tu KBS hiyo ndo inakuja....Ni kuna mengine yalikuwa yanaitwa Ibanya sijui asili ya hili jina Ibanya'' bila kusahau Kajoi..
Umenikumbusha mbali sana baba yangu aliwahi kuwa konda wa kajoi
 
Jumamosi nimepanda Sky line nalo liko vizuri sana, full ac, usb port kwa ajili ya kuchaji simu. Mnapata vinywaji soda/maji. Nauli 30,000. Wakati naenda stendi ubungi nilikuwa nailia timing Tahmeed maana kuna jamaa alikuwa akiisifia hapa ila baada ya kuikosa na kupata sky line safari yangu ilikuwa poa kabisa.
 
Mkuu unanikumbusha mbali sana, kipindi kile kuna ttbs, TBS, kamata, imam, lan'gata, Rombo safaris, Rombo mwelekeo, Rombo investment, masama cliff, njuweni, ngorika, hatco na mengine mengi.
Bila kusahau kindo kyako mbe hilo lilikua linaenda mpaka kiraracha kwa mzee mrema
 
Ajali ni jambo lisilotarajiwa, wala hakuna anayeombea ajali...!
 
falcon salimia pale kijiweni kwenye kahawa
 
Nilipanda Tahmeed daraja la juu from Dar to Arusha baadaya ya kukosa nafasi kwenye Kilimanjaro, kwa kweli sikujutia, they deserve it huwezi compare na Kilimanjaro au Dar express, mwendo wao mzuri, nauli 33,000/= ila bado hawana wateja wengi
 
nlkua natafuta bei yao kumbe n sawa na hayo mengne
 
Mombasa sehem gani ?njoo ule upepo kisauni
 
Nilipanda Tahmeed daraja la juu from Dar to Arusha baadaya ya kukosa nafasi kwenye Kilimanjaro, kwa kweli sikujutia, they deserve it huwezi compare na Kilimanjaro au Dar express, mwendo wao mzuri, nauli 33,000/= ila bado hawana wateja wengi
Basi next time usikose tena
 
Next time upande tahmeed ndio iko certisfied na sumatra kwa kanda ya kaskazini kuwa ni bus za kifahari na hakuna kampuni nyingine yenye sticker hiyo zaidi tahmeed,sisifii tu bali nazungumza kitu ambacho kipo
 
QUOTE="bejamin, post: 15634244, member: 281606"]Tahmeed ni nn?[/QUOTE]keki mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…