SUBIRI WACHAWI waje kutoka Lumumba wauza bandari yetuNimeona picha za jengo jipya la Makao Makuu ya Chadema, jengo lililopo Mikocheni Dar Es Salaam.
Jengo lenye facilities za kisasa kama kumbi za mikutano ya kisiasa, lakini lina afadhali kubwa inayoendana na ukubwa wa chama, ukilinganisha na lile lililoko pale Ufipa Street.
Hapa ndipo panatakiwa kuwa center ya kuanzisha mashambulizi, ili kuhakikisha bandari zetu zote zilizotolewa bure kwa mwarabu milele, zinarudishwa kwenye mikono yetu watanaganyika.
Nawakaribisha johnthebaptist na wenzako siku ya ufunguzi wa jengo hilo itakayokuwa mwezi huu, msiache kuja na simu zenu zikiwa zimejaa chaji ya kutosha ili mjipigie picha nyingi muwezavyo muende nazo nyumbani.
Karibuni sana.View attachment 2674717
Nimeshawakaribisha siku ya ufunguzi wafike wenyewe wajionee mjengo kwa macho yao, hapo tutapata nafasi nzuri ya kuwaambia waturudishie bandari zetu zote Tanganyika walizompa bure mwarabu.SUBIRI WACHAWI waje kutoka Lumumba wauza bandari yetu
Jengo la kukodi halina maana yoyote. Chama kina zaidi ya miaka thelathini bado kimeshimdwa kumiliki jengo la ofisiNimeona picha za jengo jipya la Makao Makuu ya Chadema, jengo lililopo Mikocheni Dar Es Salaam.
Jengo lenye facilities za kisasa kama kumbi za mikutano ya kisiasa, lakini lina afadhali kubwa inayoendana na ukubwa wa chama, ukilinganisha na lile lililoko pale Ufipa Street.
Hapa ndipo panatakiwa kuwa center ya kuanzisha mashambulizi, ili kuhakikisha bandari zetu zote zilizotolewa bure kwa mwarabu milele, zinarudishwa kwenye mikono yetu watanaganyika.
Nawakaribisha johnthebaptist na wenzako siku ya ufunguzi wa jengo hilo itakayokuwa mwezi huu, msiache kuja na simu zenu zikiwa zimejaa chaji ya kutosha ili mjipigie picha nyingi muwezavyo muende nazo nyumbani.
Karibuni sana.View attachment 2674717
Mungu ibariki CHADEMA [emoji1545][emoji419][emoji375]Nimeona picha za jengo jipya la Makao Makuu ya Chadema, jengo lililopo Mikocheni Dar Es Salaam.
Jengo lenye facilities za kisasa kama kumbi za mikutano ya kisiasa, lakini lina afadhali kubwa inayoendana na ukubwa wa chama, ukilinganisha na lile lililoko pale Ufipa Street.
Hapa ndipo panatakiwa kuwa center ya kuanzisha mashambulizi, ili kuhakikisha bandari zetu zote zilizotolewa bure kwa mwarabu milele, zinarudishwa kwenye mikono yetu watanaganyika.
Nawakaribisha johnthebaptist na wenzako siku ya ufunguzi wa jengo hilo itakayokuwa mwezi huu, msiache kuja na simu zenu zikiwa zimejaa chaji ya kutosha ili mjipigie picha nyingi muwezavyo muende nazo nyumbani.
Karibuni sana.View attachment 2674717
Nami napendekeza liitwe "Ukombozi house"Napendekeza liitwe " Maridhiano House"
Au " Chacha Wangwe House"Nami napendekeza liitwe "Ukombozi house"
Kwani hiyo Nyumba ndio umeijua leo bwashee ππ?Huenda hii itakuwa ni habari mbaya zaidi kwa wanaCCM na makupe zake (ACT) kwa asubuhi hii.
Hii ni hoja dhaifu mno, mbona cuf wanayo na hawana impact yoyote.Jengo la kukodi halina maana yoyote. Chama kina zaidi ya miaka thelathini bado kimeshimdwa kumiliki jengo la ofisi
Kwani we umeijua tangu lini.Kwani hiyo Nyumba ndio umeijua leo bwashee ππ?
Ujenzi una hatua zake, ziache ziendelee.Jengo la kukodi halina maana yoyote. Chama kina zaidi ya miaka thelathini bado kimeshimdwa kumiliki jengo la ofisi
January!Kwani we umeijua tangu lini.
Haya mtuonyeshage na Hati isijekuwa kama lile Jengo la Utopolo FC ππWewe mwisho wako ni kukaribishwa tu siku ya ufunguzi, hayo mapendekezo mbona una haraka sana...
Jiandae na simu yako bwashee.
ACT watakuwa na Agenda gani sasa na tunaelekea kwenye Uchaguzi?Agenda yao Kuu ilikuwa CHADEMA hawana Ofisi huu muda uliobaki utawatosha kweli kutafuta Agenda Mpya kuu ya kuwachanganya Wananchi?Nimeona picha za jengo jipya la Makao Makuu ya Chadema, jengo lililopo Mikocheni Dar Es Salaam.
Jengo lenye facilities za kisasa kama kumbi za mikutano ya kisiasa, lakini lina afadhali kubwa inayoendana na ukubwa wa chama, ukilinganisha na lile lililoko pale Ufipa Street.
Hapa ndipo panatakiwa kuwa center ya kuanzisha mashambulizi, ili kuhakikisha bandari zetu zote zilizotolewa bure kwa mwarabu milele, zinarudishwa kwenye mikono yetu watanaganyika.
Nawakaribisha johnthebaptist na wenzako siku ya ufunguzi wa jengo hilo itakayokuwa mwezi huu, msiache kuja na simu zenu zikiwa zimejaa chaji ya kutosha ili mjipigie picha nyingi muwezavyo muende nazo nyumbani.
Karibuni sana.View attachment 2674717
Pia soma: CHADEMA yakataa Unyonge, sasa kuhamia kwenye Makao Makuu mapya