HONGERENI CCM kwa kucheza karata zenu vizuri

HONGERENI CCM kwa kucheza karata zenu vizuri

40210.jpg

Wanaharakati na wapinzani washaingizwa kingi
 
Miaka 30 ya bongo flava ni yenu, mnaidhamini nyie ili kuondoa watu wasijadili vitu Fulani, MEFANIKIWA

Dudubaya mnamtumia nyie
Kupiga vita ushoga ni jambo zuri sana , lakini kwenye jambo hilo zuri na nyie mkapenya mkaanza kumtumia dudubaya kwa akili nyingi sana kwasasa upepo umehama,mara basata, mara sijui Nini, ingekua serikali haimtaki kweli dudubaya angeshapotea na hakuna mtu maarufu angemuunga mkono.

CCM ndio wanaoizidisha hii trend ya kulinda mgongo, kwasasa no lissu, no mo 29, no nchimbi wala polepole, Hadi wanaharakati wameingia kwenye mfumo.

Kwa kiufupi ccm nao ni mamambaz24

Yote kwa yote TULINDE MIGONGO HALI NI MBAAAAYAAAA.

NYIE MADEMU PIA LINDENI MIGONGO HIYO WATU WANAPENDA SANA MINDUKU YA KIKE SASAHIVI.

Ccm Wana akili nyingi sana
Heko kwao
Sijui kama unajitambua ipasavyo kwa hichi ulichoandika.

Mtu yeyote anayejitambua hawezi kurubunika na ajenda hii ya linda mgongo wako na kumfanya kuiona CCM ya maana.

Chama cha Mapinduzi lini uliona wanaongelea na kukemea ushoga na ulawiti kwenye jamii yetu licha ya mambo haya kufanyika waziwazi.

CCM hata ifanye kipi kwa watu wanaojitambua haiwezi kuwapoteza na kuwafanya waipende.
 
RUDIA TENA KUSOMA, USIPOELEWA TENA ITAKUA HII IKO NNJE YA UELEWA WAKO.
 
Sisiem Mbele kwa mbeleeeee!!
Natamani siku Moja moto ushuke uwachome makhabithi wote wa ccm, ila ndio inabaki Dua la kuku TU.
Mzee Mungu kama unanisikia hawa jamaa siku wakirudi kwako waongezee adhabu,kipindi wanaungua na moto waandalie machine ya nondo zilizochongoka.huku wanaungua huku wanatobolewa na na hizo nondo. Halafu kuwe na nondo kuu iwe inazama kwenye tundu la mavih na kutoka
 
Back
Top Bottom