Hongera wasomi wa CHADEMA, wamezuia kongamano mneamua kutoa elimu kijiwe kwa kijiwe

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Mkakati mpya ambao ni mbadala wa makatazo ya CCM na Polisi kwenye kampeni takusisimua akili za Watanzania juu ya katiba mpya vijana wa vyuo vikuu Mwanza leo wameendesha kampeni ya kutoa elimu kijiweni au maskani lengo likiwa nikuwafikia wananchi bila kuzimwa na akili na fikra za watawala.

Mbinu ya kijiwe kwa kijiwe haina haja yakuomba kibali polisi wala sehemu yoyote na inawakutanisha vijana wasomi na wananchi wa vyama vyote nchini. Haya yanakuja baada ya serikali ya awamu ya sita kuendelea kupindisha katiba ya nchi Kama ilivyofanya awamu ya Tano.

Niwatakie kila la kheri vijana kwenye kampeni mpya iitwayo KATIBA MPYA KIJIWE KWA KIJIWE. Naamini lengo litatimia na kibali Cha makongamano kitatoka vinginevyo vijiwe vyote nchini vifungwe.
 
Back
Top Bottom