Kupinga unafiki kwa wafuasi wa utawala wa Idd Amini mambo leo ni hatua nzuri ya kuleta mabadiliko ya utawala wa sheria nchini.Hasira haileti mabadiliko
Kupinga unafiki kwa wafuasi wa utawala wa Idd Amini mambo leo ni hatua nzuri ya kuleta mabadiliko ya utawala wa sheria nchini.Hasira haileti mabadiliko
Mbona wewe umeweka hizo siasamwa kusema kuwa kazaliwa na kulelewa ccm? Hiyo ccm ni nini kama siyo siasa?Tusiweke siasa sana kwenye uzi huu
Kanisani au safarini dodoma!Pascal Mayalla sijakuona maeneo haya
Hayo walikusudiwa watu fulani!CHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA - CCM ZANZIBAR
Hivi ni bilioni ngapi kazitafuna?Gazeti lote hili umeandika uharo,huo ushauri kampe yule mwenyekiti wenu muuaji,roho mbaya,visasi,fisadi na mwenye uchu wa kodi zetu.
Katufisadi mpka CAG kamuumbua
HahahahaFatuma Lowassa pia ni CCM.
Hapo sasa!Make love, not war. Nimeipenda hii kauli maana nasikia huyo mama hajambo kwenye hayo mambo. Ofisi itafurika wateja wake sana. Mamaa wa 1.5Bln, unakula ile chemba unataka.
Hahahahahizo ni siasa zako tu mkuu
Nimesikitishwa sana na HUJUMA alizo fanyiwa FATMA KARUME leo.
ITV walicho fanya kwenye habari zao za saa mbili,ni uhuni na hujuma za wazi kabisa kwa huyu dada.
Hujuma walizo mfanyia ni:-
1.Ni habari yake kutopewa kipaumbele kabisa kwa kuwekwa ya mwisho kabisa.
2.Ni utangazaji wa matokeo yake,yamesomwa ilimradi tuu,lakin ni kama ITV wamedhamiria hiyo habari isipate umakini.
3.Ni sauti ya FATMA akirekodiwa,imekuwa totally distorted,kwanza sauti ilikuwa chini alaf mbovu,pili ilichanganywa na mtu mwengine,tatu picha ilionekana ya mtu mwingine na chafu.
Uhuni huu hauvumiliki,hata kama ni kujipendekeza mmezidi.
Hivyo mawakili wote wanaosimamia ukweli na wasiokuwa na tabia ya kujikomba kwako unawahesabu kuwa ni wanachadema? Mbona watu kama Lissu wana tabia ya kujikomba kwa mwenyekiti wao wa chama na kupindisha ukweli kwa masilahi ya chama chao cha siasa?Ni kweli ni wa kwao kwa maana ya kusimamia ukweli na kutokuwa na tabia za kujikomba hata kwenye uovu kama nyinyi
Naona hapo ni wewe Jingalao ndio ulie andika kwamba Jiwe halishauriki, kumbe unaliju hilo halafu unajitoa ufahamu tu, Lakini naona kama leo hujapokea buku 7 zako vile? Mbona pumba zako kama zimepungua kidogo leo?Si meshasema jiwe halishauriki?