Hongera Wakili Fatma Karume "make love" not war!!

0
Eti akawauliza nao wakamjibu "tumemchagua Fatma kwa vile amezaliwa na kukulia ndani ya ccm"!
Nimecheka kidogo nipaliwe pumzi, hakika ccm imejaa ulaghai mpaka shetani akiangalia anasema hiiiii!
Ulaghai ni kuquote kisichokuwepo!
 
Nimesikitishwa sana na HUJUMA alizo fanyiwa FATMA KARUME leo.

ITV walicho fanya kwenye habari zao za saa mbili,ni uhuni na hujuma za wazi kabisa kwa huyu dada.

Hujuma walizo mfanyia ni:-
1.Ni habari yake kutopewa kipaumbele kabisa kwa kuwekwa ya mwisho kabisa.
2.Ni utangazaji wa matokeo yake,yamesomwa ilimradi tuu,lakin ni kama ITV wamedhamiria hiyo habari isipate umakini.
3.Ni sauti ya FATMA akirekodiwa,imekuwa totally distorted,kwanza sauti ilikuwa chini alaf mbovu,pili ilichanganywa na mtu mwengine,tatu picha ilionekana ya mtu mwingine na chafu.

Uhuni huu hauvumiliki,hata kama ni kujipendekeza mmezidi.
Mzee wa kuzindua,teua na tengua kamkaba mengi
 
Itakuwa kuna mahali wamepwaya wanaogopa kutumbuliwa maana wale jamaa hawachelewi kusema bosi wao akapime DNA
 
Hivi yule mzee jecha yuko wapi siku hizi??nikimuona huwa nafurahi sana
 
CC: ALBERT Msando
@Rugemeleleza
Wewe jingalao leo hutalala, utapata presha mkuu haya maisha

Umeumia sana utapata presha, Ngoma bado haijaiva naona ndugu yenu amepata vidole 5 na peni moja aliyoandikia jumla sita kura
 
jidanganye mkuu!
 
Back
Top Bottom