Hongera Wakili Fatma Karume "make love" not war!!

Hongera Wakili Fatma Karume "make love" not war!!

jingalao "Nimeongea na wanasheria, wamesema wamempigia kura kwa sababu ni matunda ya CCM"

Nigga please, hata kama unatafuta sifa kupita ushindi wa huyu mama, jaribu kuwa creative man.
I mean wtf, yaan hata ushindi wa huyu mama unauvutia kwako ili ionekane ni CCM imeshinda, loh

Umeongea na wanasheria wangapi? Na si wanasheria wote ni wanachama wa ccm, wengi wana oppose ccm, umeandika post as if unamiliki hiyo tls...
 
Eti akawauliza nao wakamjibu "tumemchagua Fatma kwa vile amezaliwa na kukulia ndani ya ccm"!
Nimecheka kidogo nipaliwe pumzi, hakika ccm imejaa ulaghai mpaka shetani akiangalia anasema hiiiii!
Ameandika vile kama CCM ndio ilikuwa ina regulate huo uchaguzi. Ashinde mwingine sifa wachukue wao.....
 
"Nimeongea na wanasheria, wamesema wamempigia kura kwa sababu ni matunda ya CCM"

Nigga please, hata kama unatafuta sifa kupita ushindi wa huyu mama, jaribu kuwa creative man.
I mean wtf, yaan hata ushindi wa huyu mama unauvutia kwako ili ionekane ni CCM imeshinda, loh

Umeongea na wanasheria wangapi? Na si wanasheria wote ni wanachama wa ccm, wengi wana oppose ccm, umeandika post as if unamiliki hiyo tls...
Nadhani umeisoma thread hii ukiwa matingas
 
Hakuna mwanamke aliyeolewa anaefanya mambo kama hayo!...nawaza tu
Hivi makamo wa raisi Samia Suluhu ameolewa!?,Mkuu naona bado una mambo ya kale mambo ya "zilipendwa",Dunia ya sasa hivi wanawake wanafanya mambo makubwa makubwa wakiwa wameolewa!!
 
CC: ALBERT Msando
@Rugemeleleza
CC: stroke. Huyu jamaa alisemaga hatapoteza kura yake kwa Fatma Karume, ona sasa kura enyewe kapotezea mazima kwa Wasonga.

Nikakumbuka ule msemo wa if you cannot beat them, join them. Mawakili wenye chuki na Tundu Lisu unganeni na mawakili wenzenu wanaomwunga mkono Lisu, manake mmeshashindwa tayari.
 
hizo ni siasa zako tu mkuu
Vipi Mkuu....hiyo heading "...make peace" ingekuuwa vizuri zaidi ya "...make love"....kwa hii hali ya hewa ya dar tunaojua kingereza tunapata ushawishi wa kufungua thred tukinadhi ni ushauri tofauti na ushauri mzuri ulioutoa.
Take it or leave it!
 
Nimeongea na wanasheria wapiga kura wenye mrengo wa ki-CCM wakasema tumemchagua kwa kuwa ni matunda ya CCM.
Hiki hasa ndicho ulichotaka kusema, hayo mengine uongo tu...na haitashangaza lile jinga lenu(wewe si ndo kiongozi wao?) baada ya wanasheria kulikatalia tena kumchagua kilaza wa CCM likianza kuropoka eti Ti-elo-eshi imechagua mwanashishiemu kweli kweli
 
Chadema wao hata matunda ya CCM wanayaparamia.hawajui kama Fatma ni sugarmumie wetu.
 
Vipi Mkuu....hiyo heading "...make peace" ingekuuwa vizuri zaidi ya "...make love"....kwa hii hali ya hewa ya dar tunaojua kingereza tunapata ushawishi wa kufungua thred tukinadhi ni ushauri tofauti na ushauri mzuri ulioutoa.
Take it or leave it!
Hiki kizazi kinapenda sana hizi title za kishigongo...la msingi ni hoja iliyomo ndani ya thread.
 
Back
Top Bottom