Hongera Wakili Fatma Karume "make love" not war!!

Hongera Wakili Fatma Karume "make love" not war!!

Fatma = Lissu

Congratulation kuwa kuwakanyaga wagombea wa u CCM
 
jingalao Kwa kinywa chako mwenyewe umekiri kuwa yeye Fatma kuwa na chimbuko la ccm ,serikali haiwezi kumsumbua.

kumbe unajua serikali inasumbua wapinzani,sasa kwa nini ulichagua kuwa upande wa shetani? mnashinda humu kumtetea magufuli,wakati mnajua kabisa ni muuaji asiye na huruma.
 
Fatma Karume pia amekidhi matakwa ya AG kwani yeye (Fatuma) si mbunge, diwani au kiongozi katika chama cho chote cha siasa kama alivyokuwa Tundu Lissu. Chadema wanajidanganya tu kwamba Fatma ni wa kwao, they will get a big surprise!
 
Nimeongea na
wanasheria wapiga
kura wenye mrengo wa
ki-CCM wakasema
tumemchagua kwa
kuwa ni matunda ya
CCM.

The funniest part.
 
Fatma Karume pia amekidhi matakwa ya AG kwani yeye (Fatuma) si mbunge, diwani au kiongozi katika chama cho chote cha siasa kama alivyokuwa Tundu Lissu. Chadema wanajidanganya tu kwamba Fatma ni wa kwao, they will get a big surprise!
Ni kweli ni wa kwao kwa maana ya kusimamia ukweli na kutokuwa na tabia za kujikomba hata kwenye uovu kama nyinyi
 
Back
Top Bottom