Hongera sana vodacom.

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
1,758
6,087
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Voda kwa kuboresha INTERNET yao.
Japo wamepandisha gharama, Lakini sijuti kutoa 500/= kwa kujiunga na WAJANJA NIGHT OFFER.
Internet ipo kasi sana, na haijam jam kama zamani.

NB. BIG UP SANA.
MAONI YANGU TU!.
 
Mimi ikifika saa moja net nihovyo mpaka saa saba usiku ndiyo inakuwa afadhali binafsi bado nawakubali airtel net yao iko vizuri ingawa naona hapa chini voda wana tuzamini JF...

Mi nimeona kuna mqbadiliko makubwa sana tofauti na Mwanzo. KwSasa naweza cheki YouTube, huku nadownload Movies bila kukwama kwama
 
Mimi ikifika saa moja net nihovyo mpaka saa saba usiku ndiyo inakuwa afadhali binafsi bado nawakubali airtel net yao iko vizuri ingawa naona hapa chini voda wana tuzamini JF...

Mi nimeona kuna mqbadiliko makubwa sana tofauti na Mwanzo. KwSasa naweza cheki YouTube, huku nadownload Movies bila kukwama kwana

BANGI!
 
Nafurah ya blackberry ya cku natumia two days ataka muda unaisha n mpaka saa sita ya siku ya pili atakama nilijiunga saa kumi na mbili asubuh!vodacom bhana
 
Back
Top Bottom