Hongera sana Gwajima, kwa hoja umeishinda kamati ila kwa nguvu wamekushinda

Yaani maadhimio mtu kumpeleka kwenye chama? Leo hii bunge linakiagiza chama?
Mnapocheza maagizo mtumie basi brain. Hapo ni kinyume chake yaani chama ndo kimechora script halafu kilisingizie bunge kuwa walituletea wao!!
 
Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa Sifa za Kipuuzi Gwajima.

Nlitegemea hapa ndipo ambapo wangemwangusha vibaya Bwana Gwajima (huwa sipendi mwita Askofu) lakini inaonekana wote aliwazidi akili kabisa.

Yaani mtu kukataa kiti na mic nalo ni kosa kwao? Kwani kuna ulazima wa wewe kukaaa au kukalia kiti ambacho walimwandalia? Kwa nini hili limewauma?

Walipaswa to just ignore but mpaka kuliongelea suala hilo ina maana limewauma sana.naanza jiuliza hapa si itaonekana kuna kitu walipanga na sasa kime fail?

Hii kamati inaonekana haikuwa na la maana hata hakukuwa na watu smart. Je hamna wana sheria ambao wange refer Katiba na Sheria zinasemaje?

Huu ni wendawazimu. Wamezidi kumkuza Gwajima na kumpa ushindi rahisi sana. Nmechu kia..
mkuu ungeweka matokeo tuyajadiri. Umefura sana kwa hasira.
 
Kosa kubwa linalo mfunga gwajima ni kusema eti viongozi waliopokea chanjo walipewa hongo na mataifa yenye nguvu kiuchumi.
 
mkuu ungeweka matokeo tuyajadiri. Umefura sana kwa hasira.
Sana aiseeee... Hawa watu wameonesha upuuzi sana. Ilitakiwa tumkate Gwajima kichwa kwa njia hii kwa hoja ...but ametushinda tunaonekana wote mabwege tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom