Hongera Samatha Mbwana kwa kujenga nyumba

Kawaambia muweke mjengo wake mtandaoni?, wemgine hawapendi muanike mambo yao mitandaoni hata kama ni watu mashuhuri.

Katika pitapita zako ukaambiwa eti mjengo ni wa mtu fulani, una uhakika gani kama taarifa ni za kweli?

Kama ni kweli na ametaka tulijue hilo hongera kwake.
 
Katika pita pita zangu nikaambiwa huo ndo mjengo wa shujaa wa football TZ a.k.a Mbwana Samatha.

Lakini jamaa anakipiga tu huko Belgium hana hata sifa za kukirusha kitu chake kipya baada ya kuivunja nyumba yake ya awali iliyokuwepo eneo hilo la kisarawe II Kigamboni.

View attachment 452717
Wow Wow Wow so nice! Hongerah sana Mbwana Samata
 
Back
Top Bottom