hongera Raisi KIKWETE. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hongera Raisi KIKWETE.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Remmy, Dec 21, 2009.

 1. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  leo umetimiza miaka minne tangu kuapishwa kwako, kazi zako zinaonekana, sekta zote, elimu, shule za yeboyebo zinatia moyo hata kama wanapiga kelele lakini mi najua in long run ina positive impact hata in short run kwani wanafunzi wanaomaliza kidato cha nne si sawa kamwe na wasio enda sekondari , hata kama wakiondoka na little material, vilevile inapunguza vijana wetu kuoa au kuolewa mapema na ujambazi, uvutaji bangi kwani wakitoka huko wanakuwa civilized. afya, huu mpango wa kuwa na dispensary kila kijiji ni bomba sana, pia maradhi, vifo vya watoto na kina mama vimepungua na mengine mengi. big up wacha waseme kwani wanataka wao huo uraisi na kwa kawaida its human nature kumwona mwenzake anachemsha kwani ye jicho lake atalionaje?
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  eeh!haya bwana mkubwa,

  naona unalazimisha KUJIPENDEKEZA
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2009
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  remmy
  Hongera huku ni kujipendekeza kwa kumalizia mwaka!! tell me you don't mean all these nonsense. Ikiwa hivyo inabidi umpengeze makamba, lowasa, rostam, karamagi hata chenge ukiweza!!! maana ndiyo think tanks wa jk
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2009
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280


  Serikali sasa ina uwezo wa kifedha mkubwa kuliko wakati wowote ule hivyo rais anaweza kutoba mamilioni ili kuwawezesha raia wake.

  Serikali sasa ina uwezo wa kifedha mkubwa kuliko wakati wowote ule hivyo rais anaweza kusafiri nje ya nchi na kupata mapesa mengine bure ya misaada ili awajaze mapesa wananchi wake. Lakini watu wanapiga kelele kwa vile hawajui uhuhimu wa safari za kiongozi.
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hapa tuna cheerleader tu,

  Unaweza kuonyesha kwa figures serikali ina uwezo kupita muda wowote? In proportionate terms, siyo tu kuongezeka kwa mapato ambako ni natural katika nchi yenye population inayokua.

  Hii siku ilitakiwa iwe siku ya mourning kukumbuka siku nchi ilivyoendelea kutumbukia katika hii botomless abyss.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Umesikia kuna 'vakansi ' za ukuu wa Wilaya zinakuja nini?
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nyimbo za chekechea hizo mmh!
   
 8. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  We have long way to go if things are like this.....
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hakuna lolote la maana alilofanya kikwete zaidi ya kutumia hela aliyokusanya mwenzie mkapa. Sasa hivi kila mtanzania mwenye akili timamu anafahamu kwamba nchi inaendeshwa kisanii. Kumsifia kikwete ni kujipendekeza tu.
   
 10. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,586
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Hivi na Jamaica pia ni Wawekezaji hapa Bongo.???
   
 11. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  pakajimmy, mi naongea kitu fact, utake usitake. lakini kama kuna hyo kitu mbona shega nimpe shavu kwenye kujenga nchi.
   
Loading...