Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,588
- 3,143
Wewe chawa wa Mwenda zake nenda ukakarangizweChawa wa mama mchafu

Sijawahi kuona uzi wako unaothibitisha wewe ni great thinkerJF was meant to be home of great thinkers but....
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mwaka wa 3 huu Wapinzani wake Wanasiasa tuuHatimaye, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, nahodha Samia Suluhu Hassan amekifikisha chombo mwisho wa mwaka 2023 kikiwa salama, hakuna hata aliyechubuka.
Ni safari ndefu yenye mawimbi makali, ambayo, kama si umahiri na weledi wa nahodha, ingetuwia ngumu.
Tanzania ndio muhimili wa amani Afrika Mashariki, hata vile vidume vilivyozoea kupigana vita, vikimuona mwamba wa visiwa vya karafuu na mlima kilimanjaro, vinaufyata na kusikiliza. Amedhibiti usalama wa nchi ndani na nje.
Uchumi umesheheni mafuta mafuta (mazezele), siasa zimejaa bashasha, watu wanapaa na ilani kwa helkopta, wanashuka, mpaka baadae wanakaa chini wanajiuliza, hivi tuseme nini tena, mbona anafanya yote?
Treni zinashuka bandarini, SGR inakwenda mwendo wa ngiri mkia juu, daraja la Magufuli, pale jangwani kitasukwa kitu cha kihistoria, daraja bora kabisa na uboreshaji wa matumizi ya ardhi, TARURA wamezagaa nchi nzima wakijenga barabara, Tanroad wamegoma kutoka saiti hata siku za sikukuu wako kazini.
Utumishi wa umma umetulia sasa, watu wamepanda madaraja mpaka wanashangaq, tukimpa mitano tena, watapanda hata ndege. Wale wanasiasa waliokuwa wanaficha udhaifu wao na kusumbua watumishi wamekomeshwa.
Sekta ya afya inawaka kama taa, inaenda kitaalamu, awamu ya sita inaheshimu sayansi, haikupigana ngumi za uso kwa uso na corona, iliruhusu sayansi itamalaki, yule aliyetaka kuzipiga kavukavu na korona, korona ilimkoroga kwa Knock out.
Viva Samia.
2024, tunatarajia mengi, tutapanda treni ya umeme kwa mara ya kwanza tangu Mungu aumbe ardhi ya nchi hii, na ile meli ya MV. Mwanza, sisi wahaya tuseme nini sasa? Tutabeba ndizi na senene humo tupeleke masokoni. Umeme ukiwaka kutoka bwawa la Mwalimu Nyerere? Ni kazi yako hiyo, chief engineer! Daraja la Busisi? Wana kanda ya ziwa umetuachia kumbukimbu kubwa sana, sengerema itakuwa, Geita, Mwanza, Kagera, Musoma, na umeme wa Rusumo, ni wewe Mama.
Tuko na wewe 2024, tukiwa na jembe kuelekea mashambani kuzalisha mali, na nyundo kwenye shughuli zetu za viwanda, biashara, na mengine mengi.
Unaukumbuka ule wimbo wa Kigoma mbali kwa wali ni karibu? Sasa hata bila wali, Kigoma, Katavi, Rukwa imefunguka kwa kupitia Mbeya au Tabora. Lami imechapwa ikachapika kwa barabara zote.
#ChamaKikoKazini
2024 twende tukajenge nchi yetu kwa nguvu zaidi na weledi mkubwa.
KWeli chadema ina wahuniChadema haina makada, umevimbiwa na ubwabwa wa Lumumba.
Siyo ndiyo wanamchangia hela za form ya urais?Watumishi wa umma wapo taabani kimaisha kuliko Rais yote.
Hqkuna alichofanya cha maana,hakuna Sera, yoyote ya maana, aliyoweka ikaja na matokeo chanya, hata angekwenda kizimkazi akakaa huko alee wajukuu zake, tungefika tu 2024! Sie kumaliza 2023,has nothing to do with samia, as far as we are concerned, this country would have been much better without, Her and Maghu!Hatimaye, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, nahodha Samia Suluhu Hassan amekifikisha chombo mwisho wa mwaka 2023 kikiwa salama, hakuna hata aliyechubuka.
Ni safari ndefu yenye mawimbi makali, ambayo, kama si umahiri na weledi wa nahodha, ingetuwia ngumu.
Tanzania ndio muhimili wa amani Afrika Mashariki, hata vile vidume vilivyozoea kupigana vita, vikimuona mwamba wa visiwa vya karafuu na mlima kilimanjaro, vinaufyata na kusikiliza. Amedhibiti usalama wa nchi ndani na nje.
Uchumi umesheheni mafuta mafuta (mazezele), siasa zimejaa bashasha, watu wanapaa na ilani kwa helkopta, wanashuka, mpaka baadae wanakaa chini wanajiuliza, hivi tuseme nini tena, mbona anafanya yote?
Treni zinashuka bandarini, SGR inakwenda mwendo wa ngiri mkia juu, daraja la Magufuli, pale jangwani kitasukwa kitu cha kihistoria, daraja bora kabisa na uboreshaji wa matumizi ya ardhi, TARURA wamezagaa nchi nzima wakijenga barabara, Tanroad wamegoma kutoka saiti hata siku za sikukuu wako kazini.
Utumishi wa umma umetulia sasa, watu wamepanda madaraja mpaka wanashangaq, tukimpa mitano tena, watapanda hata ndege. Wale wanasiasa waliokuwa wanaficha udhaifu wao na kusumbua watumishi wamekomeshwa.
Sekta ya afya inawaka kama taa, inaenda kitaalamu, awamu ya sita inaheshimu sayansi, haikupigana ngumi za uso kwa uso na corona, iliruhusu sayansi itamalaki, yule aliyetaka kuzipiga kavukavu na korona, korona ilimkoroga kwa Knock out.
Viva Samia.
2024, tunatarajia mengi, tutapanda treni ya umeme kwa mara ya kwanza tangu Mungu aumbe ardhi ya nchi hii, na ile meli ya MV. Mwanza, sisi wahaya tuseme nini sasa? Tutabeba ndizi na senene humo tupeleke masokoni. Umeme ukiwaka kutoka bwawa la Mwalimu Nyerere? Ni kazi yako hiyo, chief engineer! Daraja la Busisi? Wana kanda ya ziwa umetuachia kumbukimbu kubwa sana, sengerema itakuwa, Geita, Mwanza, Kagera, Musoma, na umeme wa Rusumo, ni wewe Mama.
Tuko na wewe 2024, tukiwa na jembe kuelekea mashambani kuzalisha mali, na nyundo kwenye shughuli zetu za viwanda, biashara, na mengine mengi.
Unaukumbuka ule wimbo wa Kigoma mbali kwa wali ni karibu? Sasa hata bila wali, Kigoma, Katavi, Rukwa imefunguka kwa kupitia Mbeya au Tabora. Lami imechapwa ikachapika kwa barabara zote.
#ChamaKikoKazini
2024 twende tukajenge nchi yetu kwa nguvu zaidi na weledi mkubwa.
Kwani mumeo hawezi kuwa Rais wa Tanzania?Ficha ujinga wako, unajua kusoma? Ulitaka Mungu ashuke awe Rais wa Tanzania?
Mama anaupiga mwinjiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiHatimaye, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, nahodha Samia Suluhu Hassan amekifikisha chombo mwisho wa mwaka 2023 kikiwa salama, hakuna hata aliyechubuka.
Ni safari ndefu yenye mawimbi makali, ambayo, kama si umahiri na weledi wa nahodha, ingetuwia ngumu.
Tanzania ndio muhimili wa amani Afrika Mashariki, hata vile vidume vilivyozoea kupigana vita, vikimuona mwamba wa visiwa vya karafuu na mlima kilimanjaro, vinaufyata na kusikiliza. Amedhibiti usalama wa nchi ndani na nje.
Uchumi umesheheni mafuta mafuta (mazezele), siasa zimejaa bashasha, watu wanapaa na ilani kwa helkopta, wanashuka, mpaka baadae wanakaa chini wanajiuliza, hivi tuseme nini tena, mbona anafanya yote?
Treni zinashuka bandarini, SGR inakwenda mwendo wa ngiri mkia juu, daraja la Magufuli, pale jangwani kitasukwa kitu cha kihistoria, daraja bora kabisa na uboreshaji wa matumizi ya ardhi, TARURA wamezagaa nchi nzima wakijenga barabara, Tanroad wamegoma kutoka saiti hata siku za sikukuu wako kazini.
Utumishi wa umma umetulia sasa, watu wamepanda madaraja mpaka wanashangaq, tukimpa mitano tena, watapanda hata ndege. Wale wanasiasa waliokuwa wanaficha udhaifu wao na kusumbua watumishi wamekomeshwa.
Sekta ya afya inawaka kama taa, inaenda kitaalamu, awamu ya sita inaheshimu sayansi, haikupigana ngumi za uso kwa uso na corona, iliruhusu sayansi itamalaki, yule aliyetaka kuzipiga kavukavu na korona, korona ilimkoroga kwa Knock out.
Viva Samia.
2024, tunatarajia mengi, tutapanda treni ya umeme kwa mara ya kwanza tangu Mungu aumbe ardhi ya nchi hii, na ile meli ya MV. Mwanza, sisi wahaya tuseme nini sasa? Tutabeba ndizi na senene humo tupeleke masokoni. Umeme ukiwaka kutoka bwawa la Mwalimu Nyerere? Ni kazi yako hiyo, chief engineer! Daraja la Busisi? Wana kanda ya ziwa umetuachia kumbukimbu kubwa sana, sengerema itakuwa, Geita, Mwanza, Kagera, Musoma, na umeme wa Rusumo, ni wewe Mama.
Tuko na wewe 2024, tukiwa na jembe kuelekea mashambani kuzalisha mali, na nyundo kwenye shughuli zetu za viwanda, biashara, na mengine mengi.
Unaukumbuka ule wimbo wa Kigoma mbali kwa wali ni karibu? Sasa hata bila wali, Kigoma, Katavi, Rukwa imefunguka kwa kupitia Mbeya au Tabora. Lami imechapwa ikachapika kwa barabara zote.
#ChamaKikoKazini
2024 twende tukajenge nchi yetu kwa nguvu zaidi na weledi mkubwa.
Kufanya dolla iwe bidhaa adim2023 amefanikiwa na atakumbukwa katika yafuatayo:
1.Kupandisha bei ya mafuta
2. Kushusha thamani ya shilingi
3.kupandisha bei za bidhaa
4. Kupandisha nauli
5. Kuuza bandari
6. Kuijenga Zanzibar kwa pesa za Tanganyika
7. Kumrudisha muuaji Makonda
8. Kufuta bima ya afya ya watoto
9. Kusimamia vizuri wateule wake waendelee kulam kwa urefu wa kamba zao
10.Kupotezea ripoti ya CAG
Fursa za nishati ya umeme kusuasua,kulala gizani kama misukuleKufanya dolla iwe bidhaa adim
Shida ya uchawa huna tofauti na wauza mboga wa kimboka by night...unasifia ujinga sukari kg 1 sasa hivi ni sh 5000 toka sh 2900...wewe unashida ya afya ya akili kama mwenyekiti wakoHatimaye, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, nahodha Samia Suluhu Hassan amekifikisha chombo mwisho wa mwaka 2023 kikiwa salama, hakuna hata aliyechubuka.
Ni safari ndefu yenye mawimbi makali, ambayo, kama si umahiri na weledi wa nahodha, ingetuwia ngumu.
Tanzania ndio muhimili wa amani Afrika Mashariki, hata vile vidume vilivyozoea kupigana vita, vikimuona mwamba wa visiwa vya karafuu na mlima kilimanjaro, vinaufyata na kusikiliza. Amedhibiti usalama wa nchi ndani na nje.
Uchumi umesheheni mafuta mafuta (mazezele), siasa zimejaa bashasha, watu wanapaa na ilani kwa helkopta, wanashuka, mpaka baadae wanakaa chini wanajiuliza, hivi tuseme nini tena, mbona anafanya yote?
Treni zinashuka bandarini, SGR inakwenda mwendo wa ngiri mkia juu, daraja la Magufuli, pale jangwani kitasukwa kitu cha kihistoria, daraja bora kabisa na uboreshaji wa matumizi ya ardhi, TARURA wamezagaa nchi nzima wakijenga barabara, Tanroad wamegoma kutoka saiti hata siku za sikukuu wako kazini.
Utumishi wa umma umetulia sasa, watu wamepanda madaraja mpaka wanashangaq, tukimpa mitano tena, watapanda hata ndege. Wale wanasiasa waliokuwa wanaficha udhaifu wao na kusumbua watumishi wamekomeshwa.
Sekta ya afya inawaka kama taa, inaenda kitaalamu, awamu ya sita inaheshimu sayansi, haikupigana ngumi za uso kwa uso na corona, iliruhusu sayansi itamalaki, yule aliyetaka kuzipiga kavukavu na korona, korona ilimkoroga kwa Knock out.
Viva Samia.
2024, tunatarajia mengi, tutapanda treni ya umeme kwa mara ya kwanza tangu Mungu aumbe ardhi ya nchi hii, na ile meli ya MV. Mwanza, sisi wahaya tuseme nini sasa? Tutabeba ndizi na senene humo tupeleke masokoni. Umeme ukiwaka kutoka bwawa la Mwalimu Nyerere? Ni kazi yako hiyo, chief engineer! Daraja la Busisi? Wana kanda ya ziwa umetuachia kumbukimbu kubwa sana, sengerema itakuwa, Geita, Mwanza, Kagera, Musoma, na umeme wa Rusumo, ni wewe Mama.
Tuko na wewe 2024, tukiwa na jembe kuelekea mashambani kuzalisha mali, na nyundo kwenye shughuli zetu za viwanda, biashara, na mengine mengi.
Unaukumbuka ule wimbo wa Kigoma mbali kwa wali ni karibu? Sasa hata bila wali, Kigoma, Katavi, Rukwa imefunguka kwa kupitia Mbeya au Tabora. Lami imechapwa ikachapika kwa barabara zote.
#ChamaKikoKazini
2024 twende tukajenge nchi yetu kwa nguvu zaidi na weledi mkubwa.
Mkulazi inafunguliwa soon, bei itashuka, hata wewe mumeo atakuona mtamu kwa kuwa utatumia sukari kwa wingiShida ya uchawa huna tofauti na wauza mboga wa kimboka by night...unasifia ujinga sukari kg 1 sasa hivi ni sh 5000 toka sh 2900...wewe unashida ya afya ya akili kama mwenyekiti wako
Shida ya kufukuliwa chemba huwezi kua na akili,endelea kukata unoo utapata kibendiMkulazi inafunguliwa soon, bei itashuka, hata wewe mumeo atakuona mtamu kwa kuwa utatumia sukari kwa wingi