Hongera Mbowe kwa kuendelea kuitafuna CHADEMA

Huyo mwenyekiti kiti wenu anavyojichukuli ruzuku aendavyo pole yenu pesa ya uchaguzi yote katia ndan8 Nyumbu bwana kazi kweli kweli
Kwenu huko majengo kila kona ,,ila hakuna faida yeyote ni ufisad tu......halafu nyie ccm mnayo yafanya mnadhani na wengine ni hivyohivyo....
 
acha discus pesa za mboe coz ni mali yake halali. fuatilia wanaotuibia bana
 
Ni aibu kuendesha chama kutoka kwenye mifuko. Chadema will never be popular any more, walipoanza wengi walitilia mashaka na mashaka yao yaliondolewa wazi wakati Mbowe alipowauzia mbuzi kwenye gunia (Kununuliwa na Jambazi Sugu).
 
kama una ushahidi kapokea hizo hela nenda mahakamani axha kupiga kelele humu JF
 
Kwenu huko majengo kila kona ,,ila hakuna faida yeyote ni ufisad tu......halafu nyie ccm mnayo yafanya mnadhani na wengine ni hivyohivyo....
Mimi ni Chadema ila nasikitishwa na mwenyekiti wetu kwa utapeli wake anaotufanyia kwa kuiba pesa za michango hii inanitia uchungu sana
 
Acha kumchafua mwenyeki wetu wewe gamba ,usimfananishe na mwenyekiti wenu kala zenu na za nchi...yetu kakaa ikulu kupiga dili tu....
 
Huyo DJ ndiyo mwenyekiti kiti natamani kutapika tapeli mkibwa huyo ingawa mimi pia ni Chadema lakini uzalendo umenishinda
 
hili ni tatizo la watanzania hata angekuwa dingi angetafuna tu ombea adui yako aishi miaka ili kila unapopata mafanikio ajionee baraka ambazo MUNGU amekujalia unasauri ni ni kifanyike maana ccm wana uchungu sana na harambee ya chadema kuliko kodi zetu EPA, ESCROW RICHMOND MEREMETA TPA TEN PERCENT
 
Wee Unazungumza kitu usichokujua Mbowe ndiye aliyempokea Lowasa hadi Dr. Slaab akaamua kuondoka
wacha kuongea mambo ya kuhisi hisi, Dr. Slaa ndiye aliyefanikisha mpango wa Lowassa kujiunga CHADEMA.
 
Huyo DJ ndiyo mwenyekiti kiti natamani kutapika tapeli mkibwa huyo ingawa mimi pia ni Chadema lakini uzalendo umenishinda
Kama wewe ni chadema ondoka tu unatia aibu hata kuwaza huwez....et dj hayo ni maneno ya mipasho leta hoja hapa......Niambie viwanja vyote vya mipira nchinzima ccm mnamiliki ,wanaccm maskin wakutupwa kule dodoma wamenufaika je??
 
Hivi wewe hujui kama Mbowe ni DJ hilo disco la Mbowe ulikuwa bado hujaingia mjini
Hiyo ni mipasho ya kina Nape na Mwigulu naona na wewe umeambukizwa.....kwasababu huna akili ,naona ukimsikia Mbowe unawashwa kojoa ukalale Mbowe ameshaoa hahitaji mke wapili dada.....
 
hamna kitu. ukiwa na mtazamo yakinifu huna sababu ya kuumiza kichwa ktk siasa na vyama.

mm najua chama ni ushirika wa watu fulani kwa shughuli na faida n yao

kubwa zaid tafuta pesa ndg. tenga muda wa kunzisha akili
ukiamka kibaruani
 
Kadri upinzani unavyokuwa na kuimarika haujitofautishi na ccm, kipindi cha nyuma wafuasi wa chadema waliongozwa zaidi na hoja, umakini wa kujibu hoja na ushawishi lakini kwa sasa wafuasi wa chadema wanaongoza kwa matusi kama wana ccm vile vile ukitoa hoja ya kukikosoa chama basi utashambuliwa kwa matuso badala ya hoja, kipindi cha Nyuma silaha ya chadema ilikuwa hoja nzito, weledi wa hali ya juu katika kujibu hoja na kujenga hoja lakini si sasa. hebu wana chadema turudi kwenye misingi yetu.
 
Mimi ni Chadema ila nasikitishwa na mwenyekiti wetu kwa utapeli wake anaotufanyia kwa kuiba pesa za michango hii inanitia uchungu sana
Mwanachama halali wa taasisi yoyote ile huwa anatoa maoni, ushauri na kero zake kwenye vikao halali vya taasisi husika.

Huwezi kujiita mwanachama huku ukiwa mmoja wa watu wanaovunja sheria na kanuni za chama zilizowekwa na kuridhiwa na wanachama.
 
Hiyo ni mipasho ya kina Nape na Mwigulu naona na wewe umeambukizwa.....kwasababu huna akili ,naona ukimsikia Mbowe unawashwa kojoa ukalale Mbowe ameshaoa hahitaji mke wapili dada.....
Waulize watu wote wa mjini wanajua disco la Mbowe na watu tulikuwa tunakwenda kucheza
 
Mwanachama halali wa taasisi yoyote ile huwa anatoa maoni, ushauri na kero zake kwenye vikao halali vya taasisi husika.

Huwezi kujiita mwanachama huku ukiwa mmoja wa watu wanaovunja sheria na kanuni za chama zilizowekwa na kuridhiwa na wanachama.
Nimekosa nafasi hiyo kutokana na ukiritimba wa viongozi wetu na ubinafsi
 
Waulize watu wote wa mjini wanajua disco la Mbowe na watu tulikuwa tunakwenda kucheza
Mbona huwa kwenye kampenu zenu za ccm mnacheza na mbowe ndo dj huko...acha siasa uchwara za lumumba ongelea issues
 
Kadri upinzani unavyokuwa na kuimarika haujitofautishi na ccm, kipindi cha nyuma wafuasi wa chadema waliongozwa zaidi na hoja, umakini wa kujibu hoja na ushawishi lakini kwa sasa wafuasi wa chadema wanaongoza kwa matusi kama wana ccm vile vile ukitoa hoja ya kukikosoa chama basi utashambuliwa kwa matuso badala ya hoja, kipindi cha Nyuma silaha ya chadema ilikuwa hoja nzito, weledi wa hali ya juu katika kujibu hoja na kujenga hoja lakini si sasa. hebu wana chadema turudi kwenye misingi yetu.
Hakuna hoja wala umakini unaponunuliwa na Lowasa unasema ni umakini huo ni ubinafsi ma ubabe wa mwenyekiti ikiwa pamoja na maslahi binafsi na hapo ndiyo mabaki njia panda
 
Mbona huwa kwenye kampenu zenu za ccm mnacheza na mbowe ndo dj huko...acha siasa uchwara za lumumba ongelea issues
Hapo sijakuelewa ccm wanacheza na Mbowe mimi ni Chadema damu mkuu ila Mbowe ndiyo ananiweka njia panda
 
Back
Top Bottom