Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,045
- 12,537
Na pia huna uhalali wa kujiita mwanachama kama hufuati taratibu za chama.Nimekosa nafasi hiyo kutokana na ukiritimba wa viongozi wetu na ubinafsi

Sina budi kumpongeza Mbowe kwa namna ambavyo amekuwa akieendesha Chadema kama kampuni yake.
Katika kipindi cha uchaguzi zipo habari zilinea kwenye baadhi ya vyombo vya habari ikisemekana kwamba Mbowe amepokea sh. 12 bilioni kutoka kwa Lowasa
Ili kumruhusu Lowasa agombee nafasi ya rais kupitia chama cha Chadema na bila ya shaka yeyote na wote tunafahamu Lowasa aligombea urais kupitia chama hicho cha Chadema.wala hakuna aliyehoji.
Baadaye kidogo zikaenea habari zingine kwamba Mh. Mbowe amehamisha mamilioni ya pesa kutoka Dubai kwenda kwenye kampuni zake ambazo zipo China.
mara hii tena hakuna aliyehoji.
Tukiwa katikati ya kampeni chama chetu Chadema kikaitisha harambee ya kuchangia pesa za uchaguzi pale Mlimani City na kukusanywa pesa nyingi tu ambazo hatukuambiwa idadi yake. Pia hakuna aliyehoji.
Pamoja na matukio haya yote Mh. Mbowe hakukanusha wala kutoa ufafanuzi juu ya taarifa za matumizi mabaya ya pesa ya chama.
Hapa naanza kupata mashaka hivi Chadema ni chama cha wananchi kweli au ni mali Mbowe? Maana kila analolitaka hakuna anayeweza kupinga.
Naomba kuwasilisha jamvini.
Taratibu zipi wakati kila raia anahaki ya kutoa mawazo yake mradi havunji sheriaNa pia huna uhalali wa kujiita mwanachama kama hufuati taratibu za chama.
Huwez kuwa na ubaguz hivyo ukaacha kuwa ccm.....Teh teh teh teh kama unataka kunipeleka Lumumba sawa lakini mimi sihitaji maana nataka DJ ajiuzulu tuchague mwenyekiti mwongine mchaza disco ametuchosha
Weka namba ya kadi yako ya chama, tarehe uliyojiandikisha na tawi ili tukuaminiHapo sijakuelewa ccm wanacheza na Mbowe mimi ni Chadema damu mkuu ila Mbowe ndiyo ananiweka njia panda
Mtu ukisema ukweli ccm kuna wabaguzi kishinda akina MboweHuwez kuwa na ubaguz hivyo ukaacha kuwa ccm.....
Tawi ni Moshi mjini kadi ipo ofisini kesho nitaweka jamviniWeka namba ya kadi yako ya chama, tarehe uliyojiandikisha na tawi ili tukuamini
Ubaguzi wa live ...kwanza mmeendesha wa walionacho na wasionacho ,,,sasa mpo kiintarahamwe zaidMtu ukisema ukweli ccm kuna wabaguzi kishinda akina Mbowe
Umelazimishwa uchange kama inakutia uchungu mbowe si yupo nenda kamdai uliyochanga achakutupigia keleleMimi ni Chadema ila nasikitishwa na mwenyekiti wetu kwa utapeli wake anaotufanyia kwa kuiba pesa za michango hii inanitia uchungu sana
.....akijibu hilo uje nikupe buku5Mleta Post unajua account ya CCM ina shi ngapi? Huwa wanatangaza? Fedha za CCM wanatoa wapi? Walishawahi Tangaza lini kwamba wanashi ngapi wameweka wapi na wamefanyia nini? Hebu muulize kwanza mwenyekiti wa chama chako
Kama kweli ni mwanachama basi umefikiria nje ya boxSina budi kumpongeza Mbowe kwa namna ambavyo amekuwa akieendesha Chadema kama kampuni yake.
Katika kipindi cha uchaguzi zipo habari zilinea kwenye baadhi ya vyombo vya habari ikisemekana kwamba Mbowe amepokea sh. 12 bilioni kutoka kwa Lowasa
Ili kumruhusu Lowasa agombee nafasi ya rais kupitia chama cha Chadema na bila ya shaka yeyote na wote tunafahamu Lowasa aligombea urais kupitia chama hicho cha Chadema.wala hakuna aliyehoji.
Baadaye kidogo zikaenea habari zingine kwamba Mh. Mbowe amehamisha mamilioni ya pesa kutoka Dubai kwenda kwenye kampuni zake ambazo zipo China.
mara hii tena hakuna aliyehoji.
Tukiwa katikati ya kampeni chama chetu Chadema kikaitisha harambee ya kuchangia pesa za uchaguzi pale Mlimani City na kukusanywa pesa nyingi tu ambazo hatukuambiwa idadi yake. Pia hakuna aliyehoji.
Pamoja na matukio haya yote Mh. Mbowe hakukanusha wala kutoa ufafanuzi juu ya taarifa za matumizi mabaya ya pesa ya chama.
Hapa naanza kupata mashaka hivi Chadema ni chama cha wananchi kweli au ni mali Mbowe? Maana kila analolitaka hakuna anayeweza kupinga.
Naomba kuwasilisha jamvini.
Mimi hupenda haki huwa sikubali kuona mtu hatendi eti kwa sababu tu ni mwenyekiti.Kama kweli ni mwanachama basi umefikiria nje ya box
Wengine hawataki hata aguswe mbowe kwa chochote
Kwani yeye malaika au nabii?
Eti anafuta madhambi ya El
Teh teh teh
Sasa AISHA hizo pesa uliziona Mbowe akipewa au ni majungu yako ya kike? Hivi inaingia akilini kweli pesa kupeana ktk mazingira kama hayo? Hata wanawake wenzio watakushangaa ktk hili kwani ni umbea uliotukuka tena wa kule tandale kwenu!aliyetoa bil.12kama ni kweli ndiye aluyeliwa kwani pesa hizo hazikuwa za cdm. Hizo za mlimani city nilimwona mbowe akipewa na wahusika wenyewe. Kama zingekuwa za cdm wangezituma kwenye acc. ya cdm. mbowe alishajua tija ya hapa kazi tu na akaanza kuifanyia kazi.
Sasa hapa unampongeza au unalalamika?Sina budi kumpongeza Mbowe kwa namna ambavyo amekuwa akieendesha Chadema kama kampuni yake.
Katika kipindi cha uchaguzi zipo habari zilinea kwenye baadhi ya vyombo vya habari ikisemekana kwamba Mbowe amepokea sh. 12 bilioni kutoka kwa Lowasa
Ili kumruhusu Lowasa agombee nafasi ya rais kupitia chama cha Chadema na bila ya shaka yeyote na wote tunafahamu Lowasa aligombea urais kupitia chama hicho cha Chadema.wala hakuna aliyehoji.
Baadaye kidogo zikaenea habari zingine kwamba Mh. Mbowe amehamisha mamilioni ya pesa kutoka Dubai kwenda kwenye kampuni zake ambazo zipo China.
mara hii tena hakuna aliyehoji.
Tukiwa katikati ya kampeni chama chetu Chadema kikaitisha harambee ya kuchangia pesa za uchaguzi pale Mlimani City na kukusanywa pesa nyingi tu ambazo hatukuambiwa idadi yake. Pia hakuna aliyehoji.
Pamoja na matukio haya yote Mh. Mbowe hakukanusha wala kutoa ufafanuzi juu ya taarifa za matumizi mabaya ya pesa ya chama.
Hapa naanza kupata mashaka hivi Chadema ni chama cha wananchi kweli au ni mali Mbowe? Maana kila analolitaka hakuna anayeweza kupinga.
Naomba kuwasilisha jamvini.
Hapa umepigilia msumari na kamwe hawatakuwa na machungu kwa sababu wao ni sehemu ya ufisadi na siku ikiwekwa wazi account ya ccm na assets za chama watu watazimiahili ni tatizo la watanzania hata angekuwa dingi angetafuna tu ombea adui yako aishi miaka ili kila unapopata mafanikio ajionee baraka ambazo MUNGU amekujalia unasauri ni ni kifanyike maana ccm wana uchungu sana na harambee ya chadema kuliko kodi zetu EPA, ESCROW RICHMOND MEREMETA TPA TEN PERCENT
Haki ipi wewe kwenye chama cha mkoloniMimi hupenda haki huwa sikubali kuona mtu hatendi eti kwa sababu tu ni mwenyekiti.
Nampongeza pamoja na kulalamikaSasa hapa unampongeza au unalalamika?