Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,840
Mpaka leo hii unawaza ukabila halafu unajiita kijana au mtanzania ndo akili za Wana ccm kutumia masaburi kufikiri.
Ukizidiwa kale malimao.
Na kuficha kichwa mchangani kama mbuni mjinga hakutakusaidia cho chote
Ukanda, ukabila na kujiona (akili ndogo kutawala akili kubwa) kutaendelea kuwatafuna.
Badilikeni. Kipeni chama mwonekano wa kitaifa na siyo kila kigogo atoke Kaskazini.
It is as simple as that!