Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,988
- 1,209
Sina budi kumpongeza Mbowe kwa namna ambavyo amekuwa akieendesha CHADEMA kama kampuni yake.
Katika kipindi cha uchaguzi zipo habari zilinea kwenye baadhi ya vyombo vya habari ikisemekana kwamba Mbowe amepokea sh. 12 bilioni kutoka kwa Lowassa
Ili kumruhusu Lowassa agombee nafasi ya rais kupitia chama cha Chadema na bila ya shaka yeyote na wote tunafahamu Lowasa aligombea urais kupitia chama hicho cha Chadema.wala hakuna aliyehoji.
Baadaye kidogo zikaenea habari zingine kwamba Mh. Mbowe amehamisha mamilioni ya pesa kutoka Dubai kwenda kwenye kampuni zake ambazo zipo China.
mara hii tena hakuna aliyehoji.
Tukiwa katikati ya kampeni chama chetu Chadema kikaitisha harambee ya kuchangia pesa za uchaguzi pale Mlimani City na kukusanywa pesa nyingi tu ambazo hatukuambiwa idadi yake. Pia hakuna aliyehoji.
Pamoja na matukio haya yote Mh. Mbowe hakukanusha wala kutoa ufafanuzi juu ya taarifa za matumizi mabaya ya pesa ya chama.
Hapa naanza kupata mashaka hivi Chadema ni chama cha wananchi kweli au ni mali Mbowe? Maana kila analolitaka hakuna anayeweza kupinga.
Naomba kuwasilisha jamvini.