Hongera Mbowe kwa kuendelea kuitafuna CHADEMA

Hongera Mbowe kwa kuendelea kuitafuna CHADEMA

Asante kaka kwa kumjibu mjinga ambaye akili yake yote ni ushabiki tu! ukiona mtu anatajwa tajwa sana ujue anawasumbua watawala mtatunga uongo na visingizio vingi chama ndo kinazidi kuimarika viva Chadema viva UKAWA Mameya ktk hadhi ya Majiji chini ya UKAWA.... wao kimyaaaaaaa nakuishia kubeba mpira kwapani hahahahahaaaaaa....aibu sana.
 
Mimi ninachohoji ni matumizi mabaya ya pesa ya chama chetu maana haya mambo ndiyo huletaga vurugu haiwezekani chama kiwe atm ya mtu mmoja
 
Kama za chama anazitafuna hivo tukimpa nchi jee na ubaya wanachama wake sijui kawapa nn yaan hawahoji wala nn
 
Kwa kweli hatuna budi kumshukuru muumba kwa kutuepusha na hawa viongozi walafi sijui saa hii nchi ingekuwaje?

Wote mnaosema sijui Mbowe kapewa Billioni 12, sijui kachangisha mamilioni na longolongo nyingi tunawajua ni Magamba at work.
Hoja zenu ni mfu, hazina mashiko na zinachefua jamvi hili.

Hivi hayo madudu na watu wanaofanya hayo madudu huko Bandari na TRA walitumwa/wanatumwa na Mbowe na Lowasa? Try to be realistic you CCM guys. Makonteina ziadi ya 12,000+ yamepotelea kwenye mitandao ya vigogo wa CCM wala siyo Mbowe, Lowasa au CHADEMA.
Mpaka sasa hakuna TRACE yoyote inayohusiana na UFISADI huo inayomhusisha LOWASA,MBOWE au CHADEMA.

Tuhuma zote zinamwangukia Mzee wa Msoga na Mafisi wenzake. Acheni porojo za kufurahisha gumzo ilhali ukweli mnaujua vizuri.
Poleni sana Mafisi wa CCM msiojitambua.
 
Kabisa hatuna budi kushukuru maana jk na wenzake waliitafuna sana hii nchi kama walivyopenda tunasubiri na huyu mwingine tuone atakapotupeleka
 
Hiki chama ni cha kiukoo. Angalia wenyeviti wote wa cdm walopita na huyu wa sasa utaona kuwa wana ubusiano na mwanzilishi wa chama
 
Watu wanaojitambua wanajua kwamba CHADEMA ni taasisi ,imesajiliwa kama taasisi na inaendeshwa kama taasisi nyingine zozote unazozifahamu hapa nchini na nje ya nchi, Mbowe kuwa mwenyekiti haimaanishi kwamba anamamlaka na kila kitu wale wasio elewea nawaomba warudi wakasome katiba ya CHADEMA na wanajua majukumu ya mwenyekiti wa chama Taifa na mipaka yake.Sio vizuri kuchafua watu bila sababu Mbowe ni kiongozi makini na mzalendo hayo mengine ni majungu tuu ya timu ya Lumumba wanataka buku tatu ili kuchafua wapinzani.
 
Mkutano wa kujitathmini kule Kilimanjaro (Makao Makuu ya Jamhuri ya Kaskazini) umeshamalizika? Nasubiri kuona falsafa mpya watakayokuja nayo baada ya ile ya ufisadi kwenda na gia ya angani. Mungu Azidi kumbariki Mbowe na ikiwezekana Amfanye awe mwenyekiti wa kudumu!

Mpaka leo hii unawaza ukabila halafu unajiita kijana au mtanzania ndo akili za Wana ccm kutumia masaburi kufikiri.
 
Ukawa unganisha kaskazini watawale kama unaona mbowe atendi haki hamia dp nafasi ya mwenyekiti ipo wazi kabixa
Ndio maana anangangania uenyekiti

KAZI YENU NI MAJUNGU TU. MUNGU AWASAMEHE KWA KUWA HATA HUYO MBOWE MNAYEMSEMA HAUMFAHAMU VIZURI. KWA TAARIFA NDOGO TU NI KWAMBA; NDUGU MBOWE HAKUZALIWA KWENYE NYUMBA YA NJAA, NA ALIVYOMJALIA MWENYEZI MUNGU VINAMTOSHA SANA, NA "ZIADA" ANAYO NYINGI SANA KWA MAHITAJI YAKE BINAFSI NA HATA FAMILIA YAKE YOTE. WALA HAHITAJI KUTAFUNA CHADEMA. HUYU NI MZALENDO WA KWELI, MWENYE UCHUNGU NA NCHI YAKE KWELI. Ingekuwa ni wewe Mungu amekujalia kumiliki mali alizo nazo Mbowe, sidhani kama ungekubali kudhalilishwa na taasisi na watu kama wewe wakati una kil;a kitu kwa ajili ya maisha yako na familia yako. Ikiwa ni pamoja miradi (kazi) nyingi binafsi zinazokutegemea!!
 
aliyetoa bil.12kama ni kweli ndiye aluyeliwa kwani pesa hizo hazikuwa za cdm. Hizo za mlimani city nilimwona mbowe akipewa na wahusika wenyewe. Kama zingekuwa za cdm wangezituma kwenye acc. ya cdm. mbowe alishajua tija ya hapa kazi tu na akaanza kuifanyia kazi.
Unaonaje ukipeleka Polisi hilo swala. Kama huna ishahidi aliekuhadithia alipeleke, tumechoka na kelele za kujaribu kufunika UKABURU wenu
 
Sina budi kumpongeza Mbowe kwa namna ambavyo amekuwa akieendesha CHADEMA kama kampuni yake.

Katika kipindi cha uchaguzi zipo habari zilinea kwenye baadhi ya vyombo vya habari ikisemekana kwamba Mbowe amepokea sh. 12 bilioni kutoka kwa Lowassa

Ili kumruhusu Lowassa agombee nafasi ya rais kupitia chama cha Chadema na bila ya shaka yeyote na wote tunafahamu Lowasa aligombea urais kupitia chama hicho cha Chadema.wala hakuna aliyehoji.

Baadaye kidogo zikaenea habari zingine kwamba Mh. Mbowe amehamisha mamilioni ya pesa kutoka Dubai kwenda kwenye kampuni zake ambazo zipo China.
mara hii tena hakuna aliyehoji.

Tukiwa katikati ya kampeni chama chetu Chadema kikaitisha harambee ya kuchangia pesa za uchaguzi pale Mlimani City na kukusanywa pesa nyingi tu ambazo hatukuambiwa idadi yake. Pia hakuna aliyehoji.

Pamoja na matukio haya yote Mh. Mbowe hakukanusha wala kutoa ufafanuzi juu ya taarifa za matumizi mabaya ya pesa ya chama.

Hapa naanza kupata mashaka hivi Chadema ni chama cha wananchi kweli au ni mali Mbowe? Maana kila analolitaka hakuna anayeweza kupinga.

Naomba kuwasilisha jamvini.
Hongera kwa kuifikisha CHADEMA mahali pa juu zaidi kuliko ilivyokuwa miaka ya nyuma na kuifanya ccm izidi kupata ushindi finyu tena wa kuiba!
 
Hongera kwa kuifikisha CHADEMA mahali pa juu zaidi kuliko ilivyokuwa miaka ya nyuma na kuifanya ccm izidi kupata ushindi finyu tena wa kuiba!
Sijakuelewa mkuu maana tupo pamoja lakini sikuelewi Chadema bado hatujafika mahala pa kueleweka huu wizi tunaousema ni babu mashi
 
Back
Top Bottom