Kitambulisho akitoe kiunon!Huenda jamaa alichanganyikiwa badala atoe kitambulisho katoa mguu wa kuku .hahahhahahaaaaaaa
Usalama wapo kila mahali kwenye taasisi.Sasa kulikua na haja ya kutoa Bastola?Ngoja niwepe mwanga kidogo ivi maulidkitenge alienda kumkingia nape kifua yye kama nan kajiamini nni
na alipo kuwa anamsukuma yule usalama je akujua kam ni usalama na kama akujua kwanni usalama aliskiliza agizo la kitenge badala la mkuu aliemtuma
Maneno yakitenge kwamba unaharibu anahalibu nni kayatoa wap
majizo kaka jua kitenge anakupeleleza uyo ni usalama kuwa makin
Na yule usalama mbna alipo zuiwa na kitenge akapotea inamana kitenge anasauti kubwä yakumfanya ache alichotumwa au alimuoogopa kitenge sio kweli
Bashite ni Degree holder mwenye upeo wa hali ya juu kama Boss wake wa ngazi za juu ndo maana unawakubali au sio?Kithenge ni Form Four Failure, mwambieni Aoneshe Cheti. Div 4 Point karibu na 30
Hana Busara ila amekaa kimbea mbea flan tu, kipindi cha Muhdin Ndoranga FAT ya wakati huo sasa TFF alizabwa vibao, huwa hajatulia.
Napie nae ni walewale, nae Form Four Failure, mwambieni atoe cheti muone. Hana Tofauti hiyo wa juu.
Kwa hiyo ni kundi linalitafuta fursa ktk maeneo yasyo na technical skills za maana.
Sijawahi kumkubali zaidi kuona ni mpiga Zumari aliyekuwa anasaka Tonge.
Alipewa Jimbo la Mtam ili Memba achukue nchi, lakini equation iligoma kubalance pale Dodoma.
Tantalila zilipozidi JPM alimtoa ktk misafara yake ya kampeni.
Tunajua, huyu ni kimeo
Bashite ndio nani?Bashite ni Degree holder mwenye upeo wa hali ya juu kama Boss wake wa ngazi za juu ndo maana unawakubali au sio?
sasa unataka kusema ni jambazi???!Mambo yakusema uyo alietoa silaha ni usalama ni uongo akuna kitu kma icho uyo sio usalama akuna usalama pumbavu kma uyo usalama wanatumia akiri na nguvu inakuja baada yaa
Wenye akili walikuwepo enzi za mwalimu, siku hizi wanapeana nafasi kidugu hasa wamu ya nne imeingiza mabashite wengi wasio na vigezohahaahah kwa kuwa kazi zao wanafanya kwa siri basi tumejenga picha ni watu wenye akili za hali ya juu, kumbe ukiwaleta hadharani ni ma bashite sana. amini mkuu ndo hao vilaza
kisaikolojia aliongea hivyo..."Utaaribu Mambo"ili yule mwenye kapelo ajue ni mwenzao ili aogope...Janja janja nyingi Kitenge[emoji3]Ngoja niendelee kuunganisha dot ntamjua tuu huyu kitenge ..hili ni tukio la pili namshuhudia akiwa katika shughuli hizi za kusema utaharibu mambo..lakini kwa maneno mengine ...Ingawa kama nini majibu yangu mfukoni tayari ivi
Ujinga ni tabia halisi kama sio askari ni nani sasa basi achukuliwe hatua maana alicho fanya ni kosa kubwa, achen utetezi wa kipumbavu wajinga nyieMambo yakusema uyo alietoa silaha ni usalama ni uongo akuna kitu kma icho uyo sio usalama akuna usalama pumbavu kma uyo usalama wanatumia akiri na nguvu inakuja baada yaa
Labda alikuwa mhuni katumwa na yule freelancer movie directorMambo yakusema uyo alietoa silaha ni usalama ni uongo akuna kitu kma icho uyo sio usalama akuna usalama pumbavu kma uyo usalama wanatumia akiri na nguvu inakuja baada yaa
Mzee umemaliza [emoji3]Kitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na Mke Mwenzie Janet aliefoji vyeti na majina