MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,400
- 1,704
Hongera Sana mama yangu Anna Mghwira!
Kweli umeonyesha ukomavu wa kiroho, umeongea kwa hekima sana kwenye tukio la kuaga wapendwa wetu huko Moshi. Hivi ndivyo kiongozi anatakiwa kuwa, umeonyesha hekima ya hali ya juu sana. Viongozi wengine wanapaswa kujifunza kwako, hususani sisi vijana. Ubarikiwe sana Mama.
Sent using Jamii Forums mobile app