Hongera mama Anna Mghwira

MNFUMAKOLE

JF-Expert Member
Nov 14, 2014
1,071
2,000
Hongera Sana mama yangu Anna Mghwira!

Kweli umeonyesha ukomavu wa kiroho, umeongea kwa hekima sana kwenye tukio la kuaga wapendwa wetu huko Moshi. Hivi ndivyo kiongozi anatakiwa kuwa, umeonyesha hekima ya hali ya juu sana. Viongozi wengine wanapaswa kujifunza kwako, hususani sisi vijana. Ubarikiwe sana Mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Burnaboy

JF-Expert Member
Dec 2, 2019
885
1,000

Kasema nini? Kasemaje kuhusu mamlaka husika kutokuwepo kuhakikisha usalama kwenye huo mhadhara? Au ni yale mambo ya "kazi ya Mungu"?
 
ndenga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,771
2,000
Bora usingeleta hii habari...sasa kutuambia sisi kaongea vizuri na hekima nyingi bila kujua ameongea nini haina maana sana. Bora ungekaa kimya kuliko kusumbua watu. Hata kama unasali kwa Mwamposa usikimbilie kuanzisha uzi kabla ya kupata info ya kutosha
 
Ndio nashangaa hata mm namsubiri labda ana upload
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
44,322
2,000
Hongera Sana mama yangu Anna Mghwira!

Kweli umeonyesha ukomavu wa kiroho, umeongea kwa hekima sana kwenye tukio la kuaga wapendwa wetu huko Moshi. Hivi ndivyo kiongozi anatakiwa kuwa, umeonyesha hekima ya hali ya juu sana. Viongozi wengine wanapaswa kujifunza kwako, hususani sisi vijana. Ubarikiwe sana Mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimemkubali sana mama Anna leo, ujumbe wake ulikuwa mzito uliobeba matumaini!
 
MNFUMAKOLE

JF-Expert Member
Nov 14, 2014
1,071
2,000
Bora usingeleta hii habari...sasa kutuambia sisi kaongea vizuri na hekima nyingi bila kujua ameongea nini haina maana sana. Bora ungekaa kimya kuliko kusumbua watu. Hata kama unasali kwa Mwamposa usikimbilie kuanzisha uzi kabla ya kupata info ya kutosha
Kwani nimekulazimisha kusoma? Onyesha ustarabu basi, ficha ujinga wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MNFUMAKOLE

JF-Expert Member
Nov 14, 2014
1,071
2,000
Mimi ni mkey KKKT, lakini ni vema tuwe kama Mfalme Daudi, kwani hakuwa tayari kumzuru Mfalme Sauli, ingawa uovu ulionekana kwa Sauli? Ni vizuri tumwache Mungu awahukumu watumishi wake! Iwe Mwamposa ametoa kafara au la, bado anabaki kuwa mwana wa Mungu! Hivyo Baba yetu ndie atakae tuhukumu! tusiwe wepesi wa kuwanyoshea mikono wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
13,491
2,000
Hongera Sana mama yangu Anna Mghwira!

Kweli umeonyesha ukomavu wa kiroho, umeongea kwa hekima sana kwenye tukio la kuaga wapendwa wetu huko Moshi. Hivi ndivyo kiongozi anatakiwa kuwa, umeonyesha hekima ya hali ya juu sana. Viongozi wengine wanapaswa kujifunza kwako, hususani sisi vijana. Ubarikiwe sana Mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kuanzisha thread, ungemtag kabisa ili aje asome hapa. Hukutukusudia members wa jf nadhani

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
13,491
2,000
Mimi ni mkey KKKT, lakini ni vema tuwe kama Mfalme Daudi, kwani hakuwa tayari kumzuru Mfalme Sauli, ingawa uovu ulionekana kwa Sauli? Ni vizuri tumwache Mungu awahukumu watumishi wake! Iwe Mwamposa ametoa kafara au la, bado anabaki kuwa mwana wa Mungu! Hivyo Baba yetu ndie atakae tuhukumu! tusiwe wepesi wa kuwanyoshea mikono wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kasema hivi basi kafundisha wengi teolojia. Wako madaktari wa teolojia walipata nafasi ya kutoa hadharani chuki zao za moyoni kwenye tukio hili. Hakika tumejifunza mengi, wanafiki wengi sana

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom